saitama_kein
JF-Expert Member
- Oct 29, 2009
- 981
- 99
Unatupa utamu kama enzi zile za kina OMARI JONGOGoooooooooooooooooooooal
Refa kakataa........Ilikuwa liwe goli la 3 kwa St George
Dakika ya 79 sasa St George 2:0 Vital'o
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unatupa utamu kama enzi zile za kina OMARI JONGOGoooooooooooooooooooooal
Refa kakataa........Ilikuwa liwe goli la 3 kwa St George
Dakika ya 79 sasa St George 2:0 Vital'o
Mpira hauko hivyo....tusubirie dakika 90Yanga lazima washinde leo
Tunaomba utupe kwanza kikosi kinachoanza
Nini tena hapo.....kila la kheri MTANIMwapeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaargh!!!!!!!!!!!!!!!
ndo ukweli huowe acha kutugawa YANGA weweeeee!
Jamani hebu naomba kujuzwa kitaaluma..... Shadrack Nsajigwa na 7?!
Nini tena hapo.....kila la kheri MTANI
Jana Simba ilicheza na Bunamwaya ya Uganda. Matokeo kama tujuavyo SImba ilishinda 2-1. SImba walicheza mpira mzuri kwa kweli. Kilichonishangaza ni kuwa baada ya kufunga goli la ushindi mashabiki wa Simba wakilishangilia goli lao walianza kuimba CCM! CCM! CCM! huku wakiangalia upande wa Yanga. Hali hii pia ilitokea siku Yanga walipocheza na hao hao Bunamwaya, waganda walkiposawazisha goli la pili na kuwa Yanga 2 Bunamwaya 2, washabiki wa Simba walishangilia tena CCM! CCM!
Nisichoelewa, je Simba ni mashabiki wa CCM? au Wanawatania Yanga kuwa wao Yanga ni CCM? na je Yanga kweli ni CCM? Kama ni CCM mbona wao wakifunga goli hawashangilii CCM? Naombwa kujuzwa kwa wenye kujua unazi wa timu hizi mbili.
Mechi kama hizi zina tension sana.....tunategemea hilo ila kadri muda unavyokwenda utapendeza tubado mpira haujapendeza kwakweli!!!