Hatuna mfungaji Mgosi asili yake ni kiungo wa pembeni hata Okwi nae si mfungaji ni kiungo wa pembeni tuna hitaji watu kama Tegete...Kwa ujumla simba wanashambulia lakini hakuna umaliziaji mzuri. Hivi sasa Vital'o wanaokoa tu.
Anaingia Mafisango anatoka Banka.
Hatuna mfungaji Mgosi asili yake ni kiungo wa pembeni hata Okwi nae si mfungaji ni kiungo wa pembeni tuna hitaji watu kama Tegete...
Naona kocha anaongeza kasi lakini mfungaji hakuna..Anatoka Salum Machaku anaingia Shija Mkina.
Mafisango ni hucheza nafasi 3,4,5,6,8 hivyo anaweza kucheza namba ya BankaMafisango ni beki sasa sijaelewa plan ya Simba au ndio afadhali wapate draw?
sijawaelewa kumtema mfungaji ila nasikia Sunzu yule Mzambia anaweza kusajiriwa vinginevyo...Ahsante kwa kuliona hilo na Shiboli ametemwa lol
Mafisango ni hucheza nafasi 3,4,5,6,8 hivyo anaweza kucheza namba ya Banka
Hata mimi siyo kocha lakini tatizo siyo mpira kwenda mbele mpira unaenda mbele tatizo ni umalizia au mipango ya umaliziaji...Samahani mm sio kocha ila kwa ufahamu wangu mdogo wa soka ningetegemea aingie hata chuji kidogo anaweza kupush timu mbele kwa kipindi hiki ambacho simba wanahitaji ushindi zaidi
Hata mimi siyo kocha lakini tatizo siyo mpira kwenda mbele mpira unaenda mbele tatizo ni umalizia au mipango ya umaliziaji...
Mpira umemalizika 0-0...
Kweli mkuu hata juzi kule DRC tulikuwa tuna shambulia sana tu lakini kufunga ndiyo tatizo...ok nimekuelewa mkuu kumbe Simba wanashambulia sana ila tatizo liko kwenye umaliziaji.Vp mambo yanaendeleaje endeleeni kutujuza
Asante mkuu kwa updates za nguvu....Kwa hiyo kundi hili wanaongoza Wazanzibar!
Mpira umemalizika, simba inabidi watengeneze kikosi hasa safu ya ushambuliaji!ok nimekuelewa mkuu kumbe Simba wanashambulia sana ila tatizo liko kwenye umaliziaji.Vp mambo yanaendeleaje endeleeni kutujuza
Kweli mkuu hata juzi kule DRC tulikuwa tuna shambulia sana tu lakini kufunga ndiyo tatizo...