CECAFA KAGAME CUP 2011 Finals in Tanzania

Mgossi naye kazi hana anapoteza nafasi za wazi, inabidi Machaku achukue nafasi
 
Mmmmmmh
Simba wana kazi leo
Hawa jamaa wanavyocheza . . . . . chunga sana nyie mabeki wa Simba
 
Lalalalalalalaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Simba wanashambuliwa.....sijui kama kunakuchomoka leo!
 
Kidogo simba wanaonyesha uhai, dakika ya 76 ...
 
Wachezaji wa timu zote mbili wanaonekana wamechoka!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…