Benchi...Rajab Isihaka...katokea wapi huyu jamani??
Rajab Isihaka...katokea wapi huyu jamani??
Bora penalti zije.........tutakamata MAPUMBUDakika ya 29(AET)
El-Mereikh 1:1 Simba
Kamata sasa....Bora penalti zije.........tutakamata MAPUMBU
Haswaa,full ubeleko!Ile ilikuwa penati ya wazi kabisa.....
Ndio wanaanza, simba wanaanza kupiga, Jerry Santo anapata!Simba huko jamani inakuwaje matuta?