CECAFA KAGAME CUP 2011 Finals in Tanzania

CECAFA KAGAME CUP 2011 Finals in Tanzania

Refa kawanyima El-Mereikh peanti ya wazi

Dakika ya 30(AET) Mpira umekwisha

Tunaenda kwenye matuta sasa......Dua zetu kwa Juma Kaseja
 
Nimeangalia Replay.......Ilikuwa ni penati..............Hakuna ubishi
 
Mambo ya matuta noma! Hapa dawa ni kula njama na Tanesco, umeme uzimike uwanjani, game linarudiwa Jumamosi.
 
Walete hao walete hao El-Mereikh......

Dua zangu zipo kwa Kaseja.......

Simba funga penati zote hao El-Mereikh
 
Simba wanaanza kupiga penati....

Esam El-Hadary golini

Anaanza Jery Santo

Gooooooooooooooooal
 
[h=6]Kaeni standby kusikiliza penati
Wanaanza kupiga penati ni Simba kupitia Jerry Santo . . .
Goooooooooooooooal
[/h]
 
Back
Top Bottom