Punguza jaziba mkuu . Kesho yanga anapita Mungu yupo nasi Wtz ucjal.Kabla mpira haujaanza tulikuwa tunapata kashfa sana kuhusu jana, yani kwa simba yalikuwa hayajaisha tu! Kesho ni balaa, yaani kama tutafungwa kwa Simba itakuwa ni safi zaidi kuliko wao kulibeba hilo kombe, Adui mwombee njaa lakini kwa simba ni too much!
Asante Batalanda! Hiyo penati ya mwisho ilkuwaje? Kaseja kaicheza au jamaa kapiga nje?
Tuombe Uzima kiongozi kesho tuwe pamoja tena studio.
Balantanda for President....na watangazaji wengine wote wapate u-waziri...
Kesho kwa sababu za kimajukumu naweza nisiwepo kimatangazo, ila Mtangazaji Mkuu Balantanda anaweza kuwaletea mambo bila mizengwe.
Mida ya kuanza mechi naweza nikawa ktk pilika pilika za kusafiri barabarani, ila nitaifuatilia mechi bila zengwe.
Nitarudi hapa baada ya mechi, bila kujali matokeo ya mechi
Ha ha haaaaaaaaaaaa safari za ghafla hizo kaka! Safari inaisha baada ya mechi! Utarudi baada ya 90, 120 ama matuta? Safari njema mkuu.
Tatizo ile mbeleko ingekuwa imetumika kwa Yanga ingekuwa Balaa, hivi kweli penalt dakika ile mngetoka, by the way hongereni sana! Punguzeni unazi.
wa YangaDuh......................
Hii kali ya mwaka.......Prezdaa wa nini?
looks soooooooooooooo gay!!!Kabla mpira haujaanza tulikuwa tunapata kashfa sana kuhusu jana, yani kwa simba yalikuwa hayajaisha tu! Kesho ni balaa, yaani kama tutafungwa kwa Simba itakuwa ni safi zaidi kuliko wao kulibeba hilo kombe, Adui mwombee njaa lakini kwa simba ni too much!
wa Yanga
...............and i love her!!Hahaaaaaaaaaaaaaaaaa......
Namuona FF ndani ya nyumba.......Nadhani ni mwanaSimba mwenzio
...............and i love her!!