CECAFA KAGAME CUP 2011 Finals in Tanzania

CECAFA KAGAME CUP 2011 Finals in Tanzania

Kabla mpira haujaanza tulikuwa tunapata kashfa sana kuhusu jana, yani kwa simba yalikuwa hayajaisha tu! Kesho ni balaa, yaani kama tutafungwa kwa Simba itakuwa ni safi zaidi kuliko wao kulibeba hilo kombe, Adui mwombee njaa lakini kwa simba ni too much!
Punguza jaziba mkuu . Kesho yanga anapita Mungu yupo nasi Wtz ucjal.
 
Ila leo yanga mmetuangusha hamkuja uwanjani pia walokuja wanashangilia El Merekh na njano na kijani zao cjafurah kwa hlo. Jana uwanja uljaa Uzalendo mmeweka pemben daah..!
 
Kesho kwa sababu za kimajukumu naweza nisiwepo kimatangazo, ila Mtangazaji Mkuu Balantanda anaweza kuwaletea mambo bila mizengwe.
Mida ya kuanza mechi naweza nikawa ktk pilika pilika za kusafiri barabarani, ila nitaifuatilia mechi bila zengwe.
Nitarudi hapa baada ya mechi, bila kujali matokeo ya mechi

Ha ha haaaaaaaaaaaa safari za ghafla hizo kaka! Safari inaisha baada ya mechi! Utarudi baada ya 90, 120 ama matuta? Safari njema mkuu.
 
Simba Hoyee'!!Haya Makandambili yatoke tu yataharibu Final na Mamipira yao ya ovyo ovyo Kubutua tu plus Ushirikina.
 
Ha ha haaaaaaaaaaaa safari za ghafla hizo kaka! Safari inaisha baada ya mechi! Utarudi baada ya 90, 120 ama matuta? Safari njema mkuu.

Mkuu
Pengine nimefanya makosa kuaga namna hii, lakin ufahamu leo haikuwa siku ya kazi Tanzania, na watu wamepumzika
Kesho mida ya jioni watu watakuwa wanatoka makazin na kurudi majumbani, sasa nitawezaje kusikiliza mpira and at the same time nilete updates na kutumia chombo cha usafiri?
 
There is only one kaseja.Alisema juma kaseja kwa kuandika kwenye tshirt yake na kuonyesha kwa mashabiki.Baada ya mechi kumalizika.Walishinda kwa penalti 5-6
 
Tatizo ile mbeleko ingekuwa imetumika kwa Yanga ingekuwa Balaa, hivi kweli penalt dakika ile mngetoka, by the way hongereni sana! Punguzeni unazi.

crappy poop from an a .................
 
Kabla mpira haujaanza tulikuwa tunapata kashfa sana kuhusu jana, yani kwa simba yalikuwa hayajaisha tu! Kesho ni balaa, yaani kama tutafungwa kwa Simba itakuwa ni safi zaidi kuliko wao kulibeba hilo kombe, Adui mwombee njaa lakini kwa simba ni too much!
looks soooooooooooooo gay!!!
 
Simba Taifa kubwa. Hatimaye Simba imetinga fainali ya kombe la Kagame baada ya kuiondosha Al-malekh ya Sudan kwa jumla ya magoli 6 kwa 5.Hayo ilikuwa kwa matuta baada ya sare ya goli moja kwa moja ambapo ilibidi ziongezwe dakika 30.Baada ya muda huo yalifuata matuta na Kaseja kupangua penati ya Wasudan nakuipeleka Simba fainali."There is only one Kaseja"ni Tshirt ya Kaseja ilivyosomeka.Kaz kwenu Yanga hapo kesho.
 
Mtuombee heri wana Jangwani ili tuje tuwababue hyo Jumapili,ila hongereni
 
Hongereni kakaa!!....jiandaeni kwa kipondo kinachowasubiri!
 
Back
Top Bottom