Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 16,908
- 19,123
sorry mkuu, game ya leo ina any unfairness?Hili kombe likibaki kwetu itakuwa kwa sababu ya home advantage, kwa mpira huu wa El mereikh dhidi ya Simba na siku ile Yanga, ni wazi mpira wetu uko chini ukilinganisha na viwango vya timu za Sudan, Ethiopia, na Uganda.
Naunga mkono hoja, wa magamba wanasemaga mia kwa mia.Balantanda for President....na watangazaji wengine wote wapate u-waziri...
Hili kombe likibaki kwetu itakuwa kwa sababu ya home advantage, kwa mpira huu wa El mereikh dhidi ya Simba na siku ile Yanga, ni wazi mpira wetu uko chini ukilinganisha na viwango vya timu za Sudan, Ethiopia, na Uganda.
Huyo atakuwa simba wa ile baa unayopenda kunywa jirani na lile plaza lakini si huyu Mnyama wa pale Msimbazi, kandambili na nguo zenu za kushangilia TANU tunawasubiri kwa hamu ili miaka 50 ikamilikesimba anasubiri kupakatwa sasa.nani anabisha hapa??
Umeona eeh! Mpira wa Tanzania siku hizi umehamia mdomoni! Utafikiri kuna kiwango kikubwa cha soka aisee!Hivi mpira siku hizi unachezwa kwa maneno na si uwanjani ?
Mkuu na mimi naomba kudeclare interest.Lakini nadhani umepotoka kidogo ni timu ya ERITREA siyo DJIBOUTI.Timu ya Djibouti ndo inaongoza kwa kufungwa magoli mengi zaidi kwenye haya mashindano(ilifungwa jumla ya magoli 20!).Ilikuwa kutuo cha Morogoro
There is only one kaseja.Alisema juma kaseja kwa kuandika kwenye tshirt yake na kuonyesha kwa mashabiki.Baada ya mechi kumalizika.Walishinda kwa penalti 5-6
...."There is only one Kaseja".....
Mkuu penati huwa hazitoki kihivyo, hata wewe mwenyewe ungekuwa refa kwa pale usingeweza kutoa penati, Acha washabiki wa mnyama tufurahie kuingia fainali na tunawakaribisha na watani hiyo kesho wafanye la maana kwa kumtoa mtatikafu Joji.sina hakika, na leo pia kuna watu wamebebwa El merrek wamenyimwa penati dakika ya 120