CECAFA KAGAME CUP 2011 Finals in Tanzania

CECAFA KAGAME CUP 2011 Finals in Tanzania

Hili kombe likibaki kwetu itakuwa kwa sababu ya home advantage, kwa mpira huu wa El mereikh dhidi ya Simba na siku ile Yanga, ni wazi mpira wetu uko chini ukilinganisha na viwango vya timu za Sudan, Ethiopia, na Uganda.
 
sorry mkuu, game ya leo ina any unfairness?
 
Hili kombe likibaki kwetu itakuwa kwa sababu ya home advantage, kwa mpira huu wa El mereikh dhidi ya Simba na siku ile Yanga, ni wazi mpira wetu uko chini ukilinganisha na viwango vya timu za Sudan, Ethiopia, na Uganda.

Unachosema ni kweli jamaa wanacheza vizuri, kama ni ball possession walituzidi walipigiana pasi za uhakika, lakini mpira sio kumiliki tu bali ni pamoja na kuzuia na kushambulia na kufunga, Simba walizuia kwa ustadi mkubwa na kushambulia kwa kushitukiza ndo maana wakaweza kupata goli. Hata kocha Basena amesema anachohitaji ni magoli lakini hasa magoli muhimu kama la Jerry Santo dhidi ya Bunamwaya na goli la leo la Ulimboka dhidi ya El-Mereikh.
 
Game ya leo ilikuwa fair mkuu ila naamini kama tungekuwa tunachezea Sudan, tungeondoka ndani ya dk 90. Tusubiri kesho tuwaone Yanga! itabidi wakaze msuli, naamini Refa hatakuwa upande wao kama jana
 
simba anasubiri kupakatwa sasa.nani anabisha hapa??
Huyo atakuwa simba wa ile baa unayopenda kunywa jirani na lile plaza lakini si huyu Mnyama wa pale Msimbazi, kandambili na nguo zenu za kushangilia TANU tunawasubiri kwa hamu ili miaka 50 ikamilike
 
Elimu imetolewa vyakutosha, mwenye kuelewa na aelewe na mshabiki aendelee na ushabiki wake.
 
Mkuu na mimi naomba kudeclare interest.Lakini nadhani umepotoka kidogo ni timu ya ERITREA siyo DJIBOUTI.Timu ya Djibouti ndo inaongoza kwa kufungwa magoli mengi zaidi kwenye haya mashindano(ilifungwa jumla ya magoli 20!).Ilikuwa kutuo cha Morogoro

sina hakika, na leo pia kuna watu wamebebwa El merrek wamenyimwa penati dakika ya 120
 
There is only one kaseja.Alisema juma kaseja kwa kuandika kwenye tshirt yake na kuonyesha kwa mashabiki.Baada ya mechi kumalizika.Walishinda kwa penalti 5-6

eti ehee... anajifanya jeuri? c ndo alifungwa matatu ndani ya dk tatu ile
mechi ya nafasi ya mazembe tp?
 
Neno simba TAIFA KUBWA limenikumbusha enzi za utawala wa Mzee Ruksa.
 
sina hakika, na leo pia kuna watu wamebebwa El merrek wamenyimwa penati dakika ya 120
Mkuu penati huwa hazitoki kihivyo, hata wewe mwenyewe ungekuwa refa kwa pale usingeweza kutoa penati, Acha washabiki wa mnyama tufurahie kuingia fainali na tunawakaribisha na watani hiyo kesho wafanye la maana kwa kumtoa mtatikafu Joji.
 
Mambo ni haya Jumapili
 
Attachments

  • Simba-kapakatwa.jpg
    Simba-kapakatwa.jpg
    38.5 KB · Views: 19
Back
Top Bottom