0-0, dakika 30 za nyongeza zinasubiriwa!Ngapi ngapi mlioko Uwanjani?
Ahahahaah!!! Pole sana...aah wapi, mpira naangalizia jf
tatizo la argentina na brazilkitendo cha dk 90 kuisha bila bao kinaashiria nini:-
1.Mafowadi hawako makini ktk kufunga!!
2. Mabeki wa timu zote ni wazuri!!!! au
3 Tatizo la ufungaji ni janga la ki-Afrika!!!
Lets wait and see on E.T
Sijui kakimbilia wapi!! Au presha imepanda/shuka?Balatanda?
Bado 0-0, dakika ya 96!ngoma imeisha au bado? ubao unasomekaje?
Dk 98, bado ngoma nzito kwa kila upande!
hawataanza kudai waongezwe mgao kweli hao na kuweka mpira kwapani!Watani naona timu yenu inajitahidi, Yanga wakicheza hivi dakika za nyongeza jpili inaweza kuwa Simba na Yanga.
Katolewa kaingia Gumbo!Mkuu Tegete bado yumo??