CECAFA KAGAME CUP 2011 Finals in Tanzania

CECAFA KAGAME CUP 2011 Finals in Tanzania

kitendo cha dk 90 kuisha bila bao kinaashiria nini:-
1.Mafowadi hawako makini ktk kufunga!!
2. Mabeki wa timu zote ni wazuri!!!! au
3 Tatizo la ufungaji ni janga la ki-Afrika!!!

Lets wait and see on E.T
 
Watani naona timu yenu inajitahidi, Yanga wakicheza hivi dakika za nyongeza jpili inaweza kuwa Simba na Yanga.
 
kitendo cha dk 90 kuisha bila bao kinaashiria nini:-
1.Mafowadi hawako makini ktk kufunga!!
2. Mabeki wa timu zote ni wazuri!!!! au
3 Tatizo la ufungaji ni janga la ki-Afrika!!!

Lets wait and see on E.T
tatizo la argentina na brazil
 
Timu zote zimeanza kwa kasi kipindi hiki cha nyongeza, wanataka kumaliza kazi mapema....yanga wamefanya shambulizi hapa ila wamekosa!
 
Rashid Gumbo ndani, Tegete nje..... Mwape vipi mbona haonyeshi makeke yoyote na hatolewi?
 
Back
Top Bottom