CECAFA KAGAME CUP 2011 Finals in Tanzania

Mwali huyo masaaa yamebaki kidogo achukuliwe bila mahali ha ha ha ha
 

Attachments

  • mwali.jpg
    129.8 KB · Views: 22
Simba Vs Yanga

Zimekutana mara 95

Yanga imeshinda mara 35

Simba imeshinda mara 30

Zimetoka sare(droo) mara 30
 
Refa ndio mwenye maamuzi ya mwisho aidha apendelee au asipendelee. Tuache longo2 tuwapongeze vijana kuwa kombe limebaki bongo
 
Wakuu hii final itarushwa live kwenye channel gani??
 
Pole Presida Bala,
Tupo pamoja, japo mechi ya leo ni presha tupu.........................KILA LA KHERI SIMBA!
Bwana wee......Acha tu,yaani presha inapanda presha inashuka.....Leo hakuna cha sare wala nini,ni kwamba ni lazima kielweke na mmoja wetu awe Bingwa.....

Tuwe tayari kwa lolote litakalotokea tu,ndio maana ya fainali hiyo,lazima mmoja wetu aibuke kidedea na kubeba kombe....

Tuko pamoja sana na as long as kombe limeshabaki Tanzania,natumia nafasi hii kuzitakia kila la heri timu zote mbili Simba na Yanga na kuzipongeza kwa kuhakikisha kwamba kombe limebaki Tanzania........

Bala.
 
Leo Simba Nguvu moja kombe liende msimbazi
 
Hahaaaaaaaaaaaaaaaa

Hayawi hayawi sasa yanakuwa....

Salaam aleykoum wana JF wenzangu......Mambo ndi yanakaribia kuiva na uwanja ushaanza kutapika....

Mechi ya kumsaka mshindi wa 3 kati ya El-Mereikh na St. George ndio inakaribia kuanza,timu ziko uwanjani zinapasha sasa....

Tuwe pamoja katika masaa haya manne ya kuzijua mbivu na mbichi....

Bala.
 
Timu tayari zipo katikati na zimeshakaguliwa.......Muda wpwpte mechi hii ya kumsaka mshindi wa 3 ambapo mshindi atapata dola 10,000 itaanza

Hii ni mechi kali kwa kweli na tutegemee burudani safi muda huu
 
Mechi ya kutafuta mshindi wa 3 El mereikh Vs St .George umeanza na ni dk3 bila bila
 
dk 15 bado milango migumu kwa kila timu
 
dk 17 St.George wa mekosa goli la wazi
 
dk25 milango ya timu zote inaonekana migumu kuruhusu goli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…