Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Star TV....Kuanzia saa 10:00 jioniWakuu hii final itarushwa live kwenye channel gani??
Bwana wee......Acha tu,yaani presha inapanda presha inashuka.....Leo hakuna cha sare wala nini,ni kwamba ni lazima kielweke na mmoja wetu awe Bingwa.....Pole Presida Bala,
Tupo pamoja, japo mechi ya leo ni presha tupu.........................KILA LA KHERI SIMBA!