Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dakika ya 90
El-Mereikh 2:0 St. George
Simba na Yanga wanapasha sasa.....
Rudi angalia mechi kupitia runinga, hayo ni mambo ambayo tumeyazoea!Dah! Nimekosa tiketi, watu wanazo mikononi eti mzunguko 10,000? Jamani hata ligi za ulaya inakuwa vivyo hivyo? Yaani watu wanakusanya mamia ya tiketi then wanauza kwa bei ya uchakachuaji?
Hakuna mkuu.....Inaonesha live na Super Sport 9 pamoja na Star TVAny link we can watch the game online through Internet?
Vipi ni mashabiki wa timu gani (SIMBA vz YANGA) ambao wamechangamka sana leo??