Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 42,023
- 12,811
Kweli uwanja unahamasisha, wimbo wa taifa unapigwa sasa na brass band!Uwanja unahamasisha kwa supporters wote wa simba na yanga.Ligi yetu ya ndani TFF waiboreshe ili iwe na hamasa kwa timu zote shiriki kama ilivyo leo kwenye kagame cup