CECAFA KAGAME CUP 2011 Finals in Tanzania

CECAFA KAGAME CUP 2011 Finals in Tanzania

Mwinyi Kazimoto mpaka sasa hivi anaonyesha yuko safi...........Yanga wanatumia nguvu zaida Simba mipango yao inaonekana.
 
dakika ya 15 Simba 0 :Yanga 0 simba imetawala kila idara
 
huyu Amir Maftah ni ndugu na JUMA AMIR MAFTAH dah TP lindanda hiyooiiii
 
Simba wanacheza vizuri sana........Yanga bado hawajatulia

Mwinyi Kazimoto analeta uhai sana kwenye kiungo cha Simba......
 
dah yaani mwinyi kazimoto kanikamatia dimba la kati mpaka raha

na yanga wanachezesha fowadi wa3 wanajitafutia matatizo kwenye kiungo na nahisi ndo maana simba wanatawala gemu kwa sasa
 
nawapa sumba 20 minutes msipofunga mmekwishaaa naona mmeanza kwa kasi saaana
 
ukweli mpaka sasa simba wametupa raha mpira wao uko juu
 
Kuna mchezaji wa Simba kaumia pale na anatolewa nje na machela..
 
Back
Top Bottom