CECAFA KAGAME CUP 2011 Finals in Tanzania

CECAFA KAGAME CUP 2011 Finals in Tanzania

simba they are better side up to now
 
presha kwa Yanga leo hawachomoki

Simba wanacheza vizuri katikati.....Tatizo ni kwamba hawana wahsambuliaji wamaliziaji...

Yanga wanaanza kubadilika na kuelewana so ngoma bado ni nzito kwa timu zote mbili
 
Juma Seif 'Kijiko' ni mchezaji mzuri sana.......Katulia sana pale kati na kaanza kuelewana na Nurudin Bakari
 
Taita inaönyesha kabisa hana uzoefu anashindwa kufanya maamuzi anapofika mbele
 
Back
Top Bottom