CECAFA KAGAME CUP 2011 Finals in Tanzania

CECAFA KAGAME CUP 2011 Finals in Tanzania

Huyu Mwinyi Kazimoto ni hatari aisee!

Mwinyi Kazimoto ana matatizo ya enka.....Inawezekana katoneshwa

Akitoka litakuwa ni pigo kubwa sana kwa Simba,maana kwa dakika 15 za mwanzo kaleta uhai sana kwenye kiungo

Katolewa kaingia Mohammed Banka
 
Sam Timbe ana historia nzuri na hili kombe,hata kama timu yake inacheza vibaya ,huwa anabeba kombe
 
Mwinyi Kazimoto nje na nafasi yake inachukuliwa na Banka.
 
Manguvu ya Yanga yamempeleka Mwinyi Kazimoto nje Banka kaingia kuziba nafasi
 
Simba nao hawaelewani kule mbele,wangekuwa wametulia na kuelewana wangeshafunga goli
 
Yanga haijatulia kabisa, simba wanatakiwa kutumia nafasi hiyo
 
Mpira hata hauvutii timu zote zimekamiana hata ladha ya mchezo haipo!
 
presha kwa Yanga leo hawachomoki
 
Back
Top Bottom