CECAFA KAGAME CUP 2011 Finals in Tanzania

CECAFA KAGAME CUP 2011 Finals in Tanzania

Naam, Simba ndo hao uwanjani na Yanga kama kawa: napenda kuwatakia kila la heri vijna wetu wa timu zote mbili wacheze mpira mzuri wa-tanzania tuburudike.
 
Golikipa kaumia na mpira umebaki dakika 2, matokeo bado ni 2-0.
 
Dah! Nimekosa tiketi, watu wanazo mikononi eti mzunguko 10,000? Jamani hata ligi za ulaya inakuwa vivyo hivyo? Yaani watu wanakusanya mamia ya tiketi then wanauza kwa bei ya uchakachuaji?
 
Mpira umekwisha, El Mereikh ndio washindi wa tatu. Na mechi inayosubiriwa ni fainali.... Kila la heri...
 
El-Mereikh wmeshika nafasi ya 3 na wamejinyakulia zawadi ya $. 10,000/=
 
Dah! Nimekosa tiketi, watu wanazo mikononi eti mzunguko 10,000? Jamani hata ligi za ulaya inakuwa vivyo hivyo? Yaani watu wanakusanya mamia ya tiketi then wanauza kwa bei ya uchakachuaji?
Rudi angalia mechi kupitia runinga, hayo ni mambo ambayo tumeyazoea!
 
Mie sijui nishabikie timu gani leo, mana timu zote ni za Tanzania. Nina furaha iwe isiwe kombe litabaki Tanzania tu.
 
Kocha wa Simba anafanyiwa interview na Super sport anasema vijana wake wameahidi makubwa leo
 
Mwinyi kazimoto ndani ya uzi wa red and white
 
Uwanja unahamasisha kwa supporters wote wa simba na yanga.Ligi yetu ya ndani TFF waiboreshe ili iwe na hamasa kwa timu zote shiriki kama ilivyo leo kwenye kagame cup
 
team zipo uwanjani tayari kwa mpambano.Wimbo wa Taifa unaimbwa na Band ya police.imekuwaje tena wimbo?
 
Back
Top Bottom