CECAFA KAGAME CUP 2011 Finals in Tanzania

CECAFA KAGAME CUP 2011 Finals in Tanzania

Refa leo kaonekana njia ya jangwani tehteh akapita msimbazi kuelekea taifa....
 
natafakari msukumo uliopo sasa hivi wa soka uwanja mzuri ungewakuta enzi zile akina ramadhani lenny hussein aman masha edward chumila malota soma masatu george mwameja lunyamila mohamed hussein fundi method mogella ken mkapa HAMIS THOBIAS GAGARINO nadhani tungekuwa km nigeria.
 
Bila kumsahau mtangazaji Ahmed Jongo!
 
Hawa watangazaji wa star tv wananishangaza. Wanasema mpira siyo mzuri, wachezaji hawajatulia na wanapiga mpira mbele bila mpangilio. Lakini niki tune s9 wanasema 'it is an intertaining match'. Na mimi naona mpira ni mzuri tu. Hawa jamaa wa star tv wanataka timu zichezeje ili waridhike? All the time wanaponda mchezo tu
 
nimepumziko ndugu wasikilizaji kwenye radio ndio nasoma barua zenu huyu anasema leo mnyama lazima angate kandambili watoto wakatengenezea magari ya kuendeshea mtaani Simba mngate huyu mara mbili..... huko sumbawanga Ngata hizo kandambili upande wa nyuma mvaaji MANJI asiweze tena kutia mguu wake nikitizama vizuri namuona muamuzi kama amepewa baahasha sijui ya Chama?
 
Back
Top Bottom