Chimunguru
JF-Expert Member
- May 3, 2009
- 10,678
- 4,370
Endelea kutazamo humohumo kabatini : OFFSIDE GOALS: watch Supersport United vs El Ahly live stream free April 2, 2011 in CAF Champions League
Mkuu naogopa tutafungwaAhahahaaah!! Mkuu toka tu huko kabatini upunge upepo hapo nje!
Ni kazi nzuri za mabekiHawa ma Kipa wapo mapumzikoni???
Zima na laptop kabisa, maana presha itapanda kwa kusoma updates za humu zingine ni za kukatisha tamaa!Mkuu sitaki kuangalia naona nitafariki dunia bure sina imani na timu yangu kabisa