CECAFA KAGAME CUP 2011 Finals in Tanzania

Zima na laptop kabisa, maana presha itapanda kwa kusoma updates za humu zingine ni za kukatisha tamaa!

Mechi zote za Yanga kuanzia robo fainali niliangalizia humu humu maana naona afadhali kuliko kuona live Mgosi anavyoingia kwenye 18
 
Siamini mwamuzi kusemailikua offside.

Hilo ni goli zuri kabisa.

Yanga tumeonewa! Tena!
 
Simba wanaokolewa na mabeki ambao time yoyote watatoa boko, mbele kumeoza kabisaaa
 
Radio tanzania hawarudii tena ile offside tehteh tuone(tusikie)
 
Mwape ni mzigo....Ni tatizo pia

Yangaaaaaaaaaa

Faulo kwa Hamis Kiiza.......Free kick kuelekea lango la Simba,ni nje kidogo ya 18
 
Haya ya foul ndio niliyasema mie sikuyataka red card inakuwa yanga wanawapigaji wazuri hizi free kick labda mtu apige free kick kizamani shuti la moja kwam oja sio bend.
 
hivi Simba na Yanga zina Gym kweli hawa? sidhani km wana program maalum kwa ajili ya wachezaji wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…