CECAFA KAGAME CUP 2011 Finals in Tanzania

Wenyewe huita bunduki lakini aliye kuwa mwenyekiti wa simba Dalali aliwaambia yale ni magombole yasiyo na risasi...kweli mwisho wa siku hutukuwasikia akina Lukunku wala kabogo...lol
 
Zanzibar ocean view wanapata bao na suleiman hadji dk 35
 
Mpira ni mapumziko. Ocean wanaongoza kwa goli 1
 
Vital'o 1-0 Entecel, na mpira ni mapumziko!
 
Entecel wamesawazisha goli hapa kipindi cha pili. Bao ni 1-1!
 
Wanapigwa goli la pili Entecel....Vital'o 2-1 Entecel!
 
Mpira umesimama kwa muda, kuna mchezaji wa Vitalo kaondolewa kwa kadi nyekundu na Entecel wanapewa penalt........Wanakosa penati hawa Entecel, kipa wa vitalo kaicheza!
 
Huyu Mtangazaji wa Star tv"TOM CHILALA" ovyo sana yaani anaongea upuuzi pumba ambazo hazina maana kabisa wala havihusiani na Soka kwakweli mie ananiboa anadhani kutangaza mpira nikubwata ovyo ovyo. Game imeisha Entecel1-3Vitalo.
 
Hatuna watangazaji wazuri wa soka hasa upande wa televisheni.
 
Hatuna watangazaji wazuri wa soka hasa upande wa televisheni.
Nakubaliana nawewe Katavi ila sidhani kama kila kitu lazima uingie darasani unaweza ukafahamu baadhi ya vitu kutokana na Mapenzi yako kwavyo nakufuatilia mambo,wengi wetu humu tunafuatilia sana Premier na Soka ya Nje kwa ujumla na tunasikia Macomentator pa1 na Maanalyst wanachoongea.Mtu anatangaza mpira asilimia 60 ya Matangazo anatumia kuongea mambo yake binafsi nakujisifia inaudhi sana Aiseh.
 
Haya hayaAAAAAAA.....leo Ocean View hawatoki!
Safu ya ushambuliaji imekwisha pewa makali na nina hakika tuta weka nyavuni goli 3 safiiiiiiiiiii!
SIMBA MBELE, NYUMA MWIKO..................................
 
Jamaa wanachonga mbaya kabisa...
 
Mechi kati ya Red Sea na Etincelles ni kipindi cha kwanza dk ya 40 matokeo ni Red Sea 2:1 Et
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…