CECAFA KAGAME CUP 2011 Finals in Tanzania

CECAFA KAGAME CUP 2011 Finals in Tanzania

Half time Red sea 2: 1 Etincelles
 
dk86 Red sea 4:1 Etincelles
 
Full time Red sea 4: 1Eteincelles with their two players been send off
 
Ocean boys Vs Simba timu zimeingia uwanjani
 
Simba sc club
Juma K Juma, Amir,Nassoro, Nyosso, Walulya,Atuman Idd,Haruna,Ulimboka,Jerr,Machaku and Mgosi
 
Ulimboka yellow card dk3
 
Simba wamepata penati baada ya Mgosi kufanyiwa faulo ndani ya eneo la hatari.Ulimboka amekosa penati
 
Ocean Vs Simba bado 0-0 Simba wamekosa penati dk za mwanzo
 
Ocean view Vs Simba...

Dk. ya 20 sasa matokeo Ocean view 0:0 Simba

Simba walipata penati Amir Maftah akakosa,kipa kaipangua....

Hawa Ocean view wanacheza vizuri kweli............Chuji naona mdebwedo,anaanguka anguka tu.......

Goooooooooooooaaaaaaaaaaaaaaaaaaal...........Amir Maftah anasawazisha makosa yake hapa,anafunga goli dakika ya 22 Ocean view 0:1 Simba
 
Amiri mafta ametunyanyua wekundu wa msimbazi..ni dakika ya 22
 
simba Goliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii dk23
 
Back
Top Bottom