CECAFA KAGAME CUP 2011 Finals in Tanzania

CECAFA KAGAME CUP 2011 Finals in Tanzania

Goooooooooooooooooooooal

Yanga 1 Elman 0

Oscar Joshua dk ya 27
 
yanga wananifurahisha pasi zao huyu golikipa wa emani ni nyanya mnooooo
 
wananikumbusha wakati ule wa miaka ya themanini au tisini walileta timu inaitwa WAGAD nayo ilikuwa inapigwa goli nane tisa sasa hawa elman nao kama baba zao wagad
 
Oscar Joshua nasikia jamaa wa Ruvu Shooting wanadai Yanga wamemchukua kwao kimagumashi: kama ni kweli Yanga wanaweza wakaondoshwa kwenye mashindano haya. Kwaeli.
 
Oscar Joshua nasikia jamaa wa Ruvu Shooting wanadai Yanga wamechukua kwao kimagumashi: kama ni kweli Yanga wanaweza wakaondoshwa kwenye mashindano haya. Kwaheli.
Hivi kwa nini kila wakati wa usajili kunakuwa na magumashi?
 
Oscar Joshua nasikia jamaa wa Ruvu Shooting wanadai Yanga wamemchukua kwao kimagumashi: kama ni kweli Yanga wanaweza wakaondoshwa kwenye mashindano haya. Kwaeli.

Kungekuwa kuna tatizo katika usajili sidhani kama TFF na CECAFA wangempa kibali/kadi ya kushiriki Kagame cup....

Tatizo ni mawasiliano miongoni mwa viongozi wa Ruvu shooting stars........Na inasemekana kuna viongozi wa Ruvu wanataka kulipwa cash ilhali Yanga wanataka kuwalipa kwa hundi......

Kama kungekuwa na tatizo nadhani hata Yanga nao wangesita kumchezesha leo......
 
kuna mtangazaji mmoja wa star tv anawaponda sana wachezaji wa kibongo alimponda sana mrope kwamba pasi zake za mwisho hazina tija anafanya kazi kuubwa lkn pasi ya mwisho inakuwa fyongo hahaaa akamponda sana mwape hana control tehe tehe awe makini atapata kichapoooo
 
Nurdin Bakari kakosa goli....Yanga wanacheza vizuri ila umaliziaji si mzuri!
 
Nurdin Bakari ni kifaa aisee.........


Muunganiko wake na Rashid Gumbo pale kwenye kiungo unatia raha..............
 
Back
Top Bottom