Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,480
- 4,775
kuna mtangazaji mmoja wa star tv anawaponda sana wachezaji wa kibongo alimponda sana mrope kwamba pasi zake za mwisho hazina tija anafanya kazi kuubwa lkn pasi ya mwisho inakuwa fyongo hahaaa akamponda sana mwape hana control tehe tehe awe makini atapata kichapoooo
Huyo ni John Kanakamfumu......Ni kocha huyu..
Yeye kila kitu anasema 'tatizo la wachezaji wa Tanzania'............Ni mmojawapo wa makocha wabovu wa Bongo...