CECAFA KAGAME CUP 2011 Finals in Tanzania

CECAFA KAGAME CUP 2011 Finals in Tanzania

Half time vital 'O' 1 zanzibar ocean view 0. Matokeo yakiwa hivi mpaka mwisho nafasi ya hawa ocean view ikoje?wataingia robo fainali au?
 
Kundi la simba kuna Ocean view, so far ni simba(7pts) peke yake ndo ana uhakika hao ocean view(6pts), vital'o(4pts) na red sea(6pts) mmoja wao anatakiwa atoke,
Ocean view kama mpira utaisha wakiwa wamefungwa 1-0 na Vital'O kuna uwezekano wakaingia robo fainali kwa kutumia mgongo wa best looser
 
Ocean view kama mpira utaisha wakiwa wamefungwa 1-0 na Vital'O kuna uwezekano wakaingia robo fainali kwa kutumia mgongo wa best looser

Mimi nadhan best loser anatoka kwenye yale makundi ya timu nne nne, na inategemea na matokea ya red sea na simba pia kama watadraw obvious ocean view atakuwa ameaga kama watatoka hivyo hivyo.
 
Mimi nadhan best loser anatoka kwenye yale makundi ya timu nne nne, na inategemea na matokea ya red sea na simba pia kama watadraw obvious ocean view atakuwa ameaga kama watatoka hivyo hivyo.
Duh!! kama ndo hivyo Ocean view tunaweza kuwapoteza, kama hayatatokea maajabu ya Timbe.
 
dk 89 Vital O 1 Ocean View 0
 
Full time matoke ni 0 kwa 1.duh Ocean view waombe Simba ifunge Red sea
 
Tuombe dua Simba impige Red sea ili Ocean view tuendelee kuwaona robofainali wanacheza mpira mzuri aisee.
 
Tuombe dua Simba impige Red sea ili Ocean view tuendelee kuwaona robofainali wanacheza mpira mzuri aisee.

Tena inabidi red sea afungwe goli nyingi maana kama atafungwa goli chache kumbuka wao walishinda goli nyingi dhidi ya Enticelles labda kama watatumia head on collision baina ya ocean view na red sea; du majina mengine ya hizi timu eti red sea na ocean view, walivyokutana wao kwa wao sea alimmeza ocean.
 
dk10 Simba 0 : Red Sea 0
 
Mgosi kama kawaida amekosa goal la wazi
 
dk20 Simba0 : Red Sea0
 
Simba wanacheza vizuri ila umaliziaji mbovu!
 
simba inabidi ashinde ili amkwepe yanga . La sivyo itakuwa aibu kwa simbq. Maana yanga wamekamilika
 
dk30 Simba0 : Red Sea0
 
tatizo la simba washambualiaji hawako makini
 
Back
Top Bottom