Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ocean view kama mpira utaisha wakiwa wamefungwa 1-0 na Vital'O kuna uwezekano wakaingia robo fainali kwa kutumia mgongo wa best looserKundi la simba kuna Ocean view, so far ni simba(7pts) peke yake ndo ana uhakika hao ocean view(6pts), vital'o(4pts) na red sea(6pts) mmoja wao anatakiwa atoke,
Ocean view kama mpira utaisha wakiwa wamefungwa 1-0 na Vital'O kuna uwezekano wakaingia robo fainali kwa kutumia mgongo wa best looser
Duh!! kama ndo hivyo Ocean view tunaweza kuwapoteza, kama hayatatokea maajabu ya Timbe.Mimi nadhan best loser anatoka kwenye yale makundi ya timu nne nne, na inategemea na matokea ya red sea na simba pia kama watadraw obvious ocean view atakuwa ameaga kama watatoka hivyo hivyo.
Tuombe dua Simba impige Red sea ili Ocean view tuendelee kuwaona robofainali wanacheza mpira mzuri aisee.
Huyu ni kawaida yake, nafasi kumi anapata moja!Mgosi kama kawaida amekosa goal la wazi
Yes. Uwezo wao ni kama wa ocean view. Wapo butu sanaSimba wanacheza vizuri ila umaliziaji mbovu!
Wachezaji wala unga tangu lini wakawa makini.?tatizo la simba washambualiaji hawako makini