CPU
JF-Expert Member
- Jan 13, 2011
- 3,858
- 687
Mimi nawatakia tu ushindi hiyo kesho mkuu.
Haya mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi nawatakia tu ushindi hiyo kesho mkuu.
we acha kutugawa YANGA weweeeee!yanga ccm-simba chadema
Kweli bana naona anawagaweni vipande vipandewe acha kutugawa YANGA weweeeee!
Kweli bana naona anawagaweni vipande vipande
Hahahahaha na wewe naona ndo umeamua kuweka ile ya mashujaa!
Babu, naona umekamilisha rangi kabisa.

Nijuavyo mimi Historia ya Timu hizi ndo inapelekea yote haya. Yanga iliyoanzishwa miaka ya 1930 kama sikosei 35 to be specific ilitumika sana kuwakutanisha wapigania uhuru akiwemo mwalimu nyerere na kwakuwa mikutano ya kisiasa haikuruhusiwa/ilikuwa discouraged na wakoloni timu hii ilitumika kama kichaka cha kujifichia na watu wakakutana hapo wanacheza mpira huku mipangilio mingine ikiendelea. Hivyo kuna uhusiano mkubwa wa kihistoria kati ya vyama TAA, TANU baadaye CCM aka Magamba. Simba kwa upande wao walikuwa timu ya waarabu..... Pengine hii ndio asili ya Yanga kushangiliwa CCM,CCM na pia Mwalimu nyerere kuwa mpenzi mkubwa wa Yanga. Ushahidi mwingine ni Jezi ya Yanga. Kwa uchache nayakumbuka hayo.
Mi nadhani ni kwa sababu ya rangi za timu zao..
Za Yanga zinafanana sana na za ccm ndo maana..so wao Simba wanawatania.
ccm, ni tani siku hizi (sio chama tena.)..
kwa mfano:
Badala ya kuwaita WAJINGA!WAJINGA!WAJINGA! au MAFALA!MAFALA!MAFALA! au MASHUGA! etc...etc..etc..
neno lifananalo na hilo ni CCM!CCM!CCM!
Mwisho wa mfano.
Hahahaha nimeipenda hii Mentor. so CCM ni synonymous na Wajinga, Mafala, Mashuga!!! so manake yanga ni CCM. Kwa hiyo Yanga ni Majinga, Mafala, Mashuga.......
Mkuu kama ndo hivi, wasubirie wenyewe wakujibu. Thanks God mie Mtanzania lkn sina mapenzi na SImba wala Yanga but Taifa Stars. Labda kwa vile mi mwenyewe mtaalamu wa kukipiga so sina ushabiki na vilabu! Jana nilikaa SImba na nilishangilia sana tuliposhinda. Juzi ile nilikaa Yanga na nilishangilia sana goli la Mwape. Na leo naenda sasa hivi kuona game zote mbili na ntakaa Yanga ili niwe free kushangilia timu ya Tz. Uzalendo huwa haunishindi hata siku moja timu ya Tanzania ichezapo na ya nje ya nchi. na zichezapo SImba na Yanga huwa nakaa kuleee kwenye orange straight katikati ya mstari wa uwanja ili nisiwe upande wowote!