CECAFA KAGAME CUP 2011 Finals in Tanzania

CECAFA KAGAME CUP 2011 Finals in Tanzania

nkikicho monowana...

Yanga iliyoanzishwa miaka ya 1930 kama sikosei 35 to be specific ilitumika

Ngaamba le baana.......Yanga was established in 1930s but if i am not mistaken it was 1935 (to be specific)....

Aoeleo msongoru!!
 
Nisivyowapenda waarabu na ninavyoipenda simba,duuh...Leo mmenikata stim c kidogo wadau!
 
Nasikitika kuwatangazia ndugu zetu, watani wetu wapinza, na mahasimu wetu dar young africans kuwa hata wafanyaje leo kufa lazima....
 
unachukua ujukuu wa Sheikh Yahya bila idhini yake? unaoneaka shabiki wa simba wewe
 
wanashangilia ivyo kwasababu Yanga inafadhiliwa na Mafisadi toka CCM wakiongozwa na Mtoto wa JK nyuma yupo Manji na pia kwasababu yanga mara nyingi uwa inapendelewa na uwanjani kwasababu ya serikali inayoongoza TFF so kuimba vile ni kuwatania mnapendelewa koz mpira hamjui...
 
Nasikitika kuwatangazia ndugu zetu, watani wetu wapinza, na mahasimu wetu dar young africans kuwa hata wafanyaje leo kufa lazima....
Naona sheikh yahya alizaa watoto wengi sana, hadi wee naye mtoto wake siyo??

Haya bhana, tafadhal majini baki nayo mwenyewe
 
Nadhan ilikuwa ni kuwakejeli Yanga maana kuna kipindi Yanga ndo walivyokuwa wanashangilia hivyo hasa kipindi cha 2005 pale CCM walivyopata ushindi wa kishindo kwenye uchaguzi mkuu kwa hiyo hata Yanga walivyokuwa wakishinda ndo ilikuwa shangilia yao, kwa Simba kushangilia hivyo ni kama kuwadhihaki.
 
Aaai wapi! utatusikilizia bombani....leo mtu anakula 11 goli....hadi kipa wetu mpya lazima afunge!
 
Nadhani Vital'o watafungwa mengi leo maana tayari kuna mchezaji wao kalambwa red card dakika ya 45.......
 
Vipi matokeo jamani na dakika ya ngapi???
 
Goooooooooooooooooooooal

Refa kakataa........Ilikuwa liwe goli la 3 kwa St George

Dakika ya 79 sasa St George 2:0 Vital'o
 
Endelea kutupa matokeo mkuu ingawa najua moyo unadunda sijui leo kama mtasalimika...

Ni kweli.......Kwenye moyo lazima udunde(kama ilivyokuwa wewe jana)......Yote kwa yote tusubiri dakika 90.....

Hope leo tuko pamoja kuishangilia Yanga...

Yanga wanapasha sasa...
 
Back
Top Bottom