Sharo hiphop
JF-Expert Member
- May 17, 2011
- 660
- 104
sio mbaya kuwa na ndoto za alinacha kama zakohalftime St.George 1- 0 Vital' O
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sio mbaya kuwa na ndoto za alinacha kama zakohalftime St.George 1- 0 Vital' O
lM UNGU mkubwa make sijui hawa simba mitaani tungejificha wapi ?
Yanga wana characteristics za u-champions.....winning while playing ugly.
Walipochukua hichi kikombe kule Kampala mara mbili miaka ya huko nyuma, walikuwa wanacheza hovyo kama hivi kwenye mechi za awali.
Naam, ndiyo sifa ya ma-champion wote duniani!
leo nlivaa njano nikakaa jukwaa la yanga ila nlikuwa na wasiwasikwahiyo leo uliplay your part kwa kuwa mzalendo ama nawewe uzalendo ulikushinda?
Atupatie kombe kwanza......Hao wachezaji atawajaribu wwakati wa kujiandaa na VPL
Gulamal,abas tarimba,manji na mwenyekiti wa kamati ya usajili ni wamakonde!Yanga ilianzishwa na waafrica pure. simba ilianzishwa na watu wenye asili ya waarabu kwa kujiondoa toka yanga. ndiyo maana mpaka sasa waarabu wengi ni shabiki wa simba kuliko yanga
Nina declare kabisa interest kuwa mimi ni shabiki wa Simba Sports Club ila natoa maoni kama mwananchi mpenda maendeleo ya michezo. Yule Kibendera na pengine mwamuzi wa mechi ya robo fainali iliyowakutanisha Yanga na timu ya Djibuti alifanya upendeleo wa wazi wazi kukataa penalti mbili ambazo kipa wao alizipangua kwa kisingizio cha kuwa kipa anatoka kabla. Kweli nchi zetu za ukanda huu haziwezi kupiga hatua kimichezo kwa vitendo kama hivi. Aibu