CECAFA KAGAME CUP 2011 Finals in Tanzania

CECAFA KAGAME CUP 2011 Finals in Tanzania

lM UNGU mkubwa make sijui hawa simba mitaani tungejificha wapi ?
 
Yanga wana characteristics za u-champions.....winning while playing ugly.

Walipochukua hichi kikombe kule Kampala mara mbili miaka ya huko nyuma, walikuwa wanacheza hovyo kama hivi kwenye mechi za awali.
Naam, ndiyo sifa ya ma-champion wote duniani!

Kama man utd ama Barcelona!!??
 
Sijawahi kuona mashabiki wa ajabu kama mashabiki wa simba. Yaani wanaishangilia timu yoyote inayocheza na yanga kuliko wanavyoishangilia simba kwenye mechi zake.
 
mi natamani sana ziingie el mehrek na st george na sio simba au yanga fainali kwani wamezidi mineno si yanga wala simba..
 
Yanga walibebwa penati ya Asamoah iligonga Post iweje irudiwe!!
 
Atupatie kombe kwanza......Hao wachezaji atawajaribu wwakati wa kujiandaa na VPL

Haya maneno msiishie kumwambia sam timbe tu, hata arsene wenger naye mumwambie hivyo hivyo.

Miaka sita bila kikombe hata cha mbuzi lakini mnamsifia kila uchao!!!

ooh arsenal wanancheza beautiful futiboli!!?? Kikombe kwanza beautiful futiboli baadae!!
 
Yanga ilianzishwa na waafrica pure. simba ilianzishwa na watu wenye asili ya waarabu kwa kujiondoa toka yanga. ndiyo maana mpaka sasa waarabu wengi ni shabiki wa simba kuliko yanga
Gulamal,abas tarimba,manji na mwenyekiti wa kamati ya usajili ni wamakonde!
 
tunajenga timu so kufika robo fainali ni ushindi mkubwa sana kwa simba changamoto ni nyingi kuliko matatizo timu mpya,kocha mpya na ratiba ya michuona yenyewe ipo vibaya,mashindano haya yatasaidia sana kujenga timu cos matatizo yetu tunayajua hatuna mmaliziaji so tunaweza vuna mtupia nyavu kutoka katika haya mashindani kwa mbali timu inaleta matumain kama watakaa pamoja tutavuna kitu na sio mashindano haya,tatizo ka watanzania tunataka kuingia peponi kabla ya kufa,big up simba kwangu mm robo fainal inatutosha kabisa turudi tujipange upya.
 
Mashindano ni mazuri ila waamuzi feki yanga ilibebwa jana. (mwna yanga pure)
 
Nina declare kabisa interest kuwa mimi ni shabiki wa Simba Sports Club ila natoa maoni kama mwananchi mpenda maendeleo ya michezo. Yule Kibendera na pengine mwamuzi wa mechi ya robo fainali iliyowakutanisha Yanga na timu ya Djibuti alifanya upendeleo wa wazi wazi kukataa penalti mbili ambazo kipa wao alizipangua kwa kisingizio cha kuwa kipa anatoka kabla. Kweli nchi zetu za ukanda huu haziwezi kupiga hatua kimichezo kwa vitendo kama hivi. Aibu
 
Aibu sana mkuu, kupendelea timu moja hakukubaliki, lakini kuionea timu kutoka nchi ndogo kama ile ambayo angalau mashindano kama haya ndo yanawainua ni dhambi iliyopitiliza
 
wanajamii yesterday nilikuwa uwanja wa taifa naangalia mpira as u know mpira uliisha kwa draw ya bila kufungana.utata unakuja kwenye zile penalt mimi binafsi yangu cjui much sheria za penalt but zile penalt 2 zilizokataliwa zilikuwa sawa? Especially ile ya pili iliyogonga mwamba nisaidieni wanajamii ku understand!
 
Nina declare kabisa interest kuwa mimi ni shabiki wa Simba Sports Club ila natoa maoni kama mwananchi mpenda maendeleo ya michezo. Yule Kibendera na pengine mwamuzi wa mechi ya robo fainali iliyowakutanisha Yanga na timu ya Djibuti alifanya upendeleo wa wazi wazi kukataa penalti mbili ambazo kipa wao alizipangua kwa kisingizio cha kuwa kipa anatoka kabla. Kweli nchi zetu za ukanda huu haziwezi kupiga hatua kimichezo kwa vitendo kama hivi. Aibu

Mkuu na mimi naomba kudeclare interest.Lakini nadhani umepotoka kidogo ni timu ya ERITREA siyo DJIBOUTI.Timu ya Djibouti ndo inaongoza kwa kufungwa magoli mengi zaidi kwenye haya mashindano(ilifungwa jumla ya magoli 20!).Ilikuwa kutuo cha Morogoro
 
Nina declare kabisa interest kuwa mimi ni shabiki wa Simba Sports Club ila natoa maoni kama mwananchi mpenda maendeleo ya michezo. Yule Kibendera na pengine mwamuzi wa mechi ya robo fainali iliyowakutanisha Yanga na timu ya Djibuti alifanya upendeleo wa wazi wazi kukataa penalti mbili ambazo kipa wao alizipangua kwa kisingizio cha kuwa kipa anatoka kabla. Kweli nchi zetu za ukanda huu haziwezi kupiga hatua kimichezo kwa vitendo kama hivi. Aibu

Yanga ujanja ujanja tu hamna kitu pale!!! ST.George kula vichwa hao!! ST George akishindwa tunakuja kumng'oa fainali kabla hajakimbia tena kama kipindi kileeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!
 
Hivi mliangalia Replay za ile penati ya Gumbo na Asamoah?.....

Mbona ilionekana ni kweli kipa alivuka msitari,alitoka golini kabla refa hajaruhusu penati ipigwe.....

Ikumbukwe kwamba penati nazo zina sheria/taratibu zake.......

Cha msingi hapa ni kuongelea game ya Simba na El-Mereikh itakuwaje leo......Haya ya Yanga na Red Sea yameshapita,tugange yajayo sasa......
 
Back
Top Bottom