Vin Diesel
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 9,088
- 6,384
hadi sasa yanga anaongoza uwanja wa JF....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wanashangilia ivyo kwasababu Yanga inafadhiliwa na Mafisadi toka CCM wakiongozwa na Mtoto wa JK nyuma yupo Manji na pia kwasababu yanga mara nyingi uwa inapendelewa na uwanjani kwasababu ya serikali inayoongoza TFF so kuimba vile ni kuwatania mnapendelewa koz mpira hamjui...
Tunaimba ccm ccm KWA YANGA sio kwa sababu ya rangi,ni kwa sababu wanabebwa japo mara nyingine hawabebeki. ingekuwa rangi ya jezi tungeanza zamani siyo leo. WANABEBWA KAMA MIZIGO NA KAMA CCM
Acha zako ww ni Simba damu, huo U taifa staz unaoongelea unataka kutuibia tu, na kama ni kweli ww sio mshabiki wa simba ama yanga basi ww sio Mtanzania (najua zipo timu nyingi na kwa hapa unaweza kuchangia unavyoweza)
Mkirua uko kkaribu na ukweli. Yanga ilanzishwa na wanaharakati wa kudai uhuru wa Tanganyika Hayati Mzee Karume akishirikiki kamilifu uanzishwaji wa klabu hiyo ambayo iltumika kama chombo chinichini cha harakati za mapambano dhidi ya ukoloni.Nijuavyo mimi Historia ya Timu hizi ndo inapelekea yote haya. Yanga iliyoanzishwa miaka ya 1930 kama sikosei 35 to be specific ilitumika sana kuwakutanisha wapigania uhuru akiwemo mwalimu nyerere na kwakuwa mikutano ya kisiasa haikuruhusiwa/ilikuwa discouraged na wakoloni timu hii ilitumika kama kichaka cha kujifichia na watu wakakutana hapo wanacheza mpira huku mipangilio mingine ikiendelea. Hivyo kuna uhusiano mkubwa wa kihistoria kati ya vyama TAA, TANU baadaye CCM aka Magamba. Simba kwa upande wao walikuwa timu ya waarabu..... Pengine hii ndio asili ya Yanga kushangiliwa CCM,CCM na pia Mwalimu nyerere kuwa mpenzi mkubwa wa Yanga. Ushahidi mwingine ni Jezi ya Yanga. Kwa uchache nayakumbuka hayo.
Nijuavyo mimi Historia ya Timu hizi ndo inapelekea yote haya. Yanga iliyoanzishwa miaka ya 1930 kama sikosei 35 to be specific ilitumika sana kuwakutanisha wapigania uhuru akiwemo mwalimu nyerere na kwakuwa mikutano ya kisiasa haikuruhusiwa/ilikuwa discouraged na wakoloni timu hii ilitumika kama kichaka cha kujifichia na watu wakakutana hapo wanacheza mpira huku mipangilio mingine ikiendelea. Hivyo kuna uhusiano mkubwa wa kihistoria kati ya vyama TAA, TANU baadaye CCM aka Magamba. Simba kwa upande wao walikuwa timu ya waarabu..... Pengine hii ndio asili ya Yanga kushangiliwa CCM,CCM na pia Mwalimu nyerere kuwa mpenzi mkubwa wa Yanga. Ushahidi mwingine ni Jezi ya Yanga. Kwa uchache nayakumbuka hayo.