CECAFA KAGAME CUP 2011 Finals in Tanzania

CECAFA KAGAME CUP 2011 Finals in Tanzania

watu wengine humu me nahc ni std7 failure mmewekwa na wajomba zenu huko ofcn mnapost pumba kwenye forums za great thinkerz,sa kama una uhakika yanga itashinda umeuliza qn gan kwenye title ya post yako?
Usimjibu mpumbavu upumbavu wake kwani utafanana nae
 
Jana katika tukio ambalo sikulitarajia ni Juma Kaseja kusema yupo peke yake hapa Tz.. Nimebaki na maswali mengi kichwani 1. Je alikuwa anawalenga wale ambao wallimbeza kwamba amekwisha kimchezo? 2.Au alikuwa akimwambia Babu Poulsen kuwa yeye ni mvinyo wa siku nyingi hata kama asipomwita bado nabaki kuwa TZ one? 3.Kwanini aliandika maneno hayo katika lugha ya kiingereza au kwa vile supersport wapo Tanzania au alitaka kufikisha ujumbe kwa Poulsen bila chenga? 4.Kaseja bado anakiwango kinachofanana na maneno yake? Mwisho wa siku Tunampongeza sana Juma Kaseja kwa kufanya kazi 3 jana za ukweli mfano uwanjani jana alikuwa kama kocha msaidizi, kepteni wa timu na kuipeleka timu fainali...saaaaaaaaaaaafi sana JUma k Juma
Maswali yako jibu ni ndio,kila mtu ana sehemu maalum la kueleza hisia zake na amefanikiwa na lilikuwa tendo sahihi mahali sahihi kwa watu sahihi
 
...hata barca wanabebwa! Yanga Bomba, Yanga Imara!
Na kizuri mkuu wanabebeka. Nimegundua mnyama hakutaka kabisa kukutana na yanga. We utaona wakishindwa watakata rufaa
 
Naona upendeleo wa wazi kwa timu zetu.
Nadhani ni mpango mahsusi wa waandaaji na TFF ili kombe libaki nchini.
Kwa namna hii ya uongozi wa soka, tutakuwa tukiporomoka kwenye jedwali la FIFA kila kukicha.
TUBADILIKE
Kwanini tunashindwa kujiamini na kukubali kama tumeshinda na kuingiaa fainali.Badala ya kujisifu tuna jiweka chini.
Tujifunnze kujiamini.Yote haya ya kutojiamini yanatokana na serikali yetu imeharibu upeo wetu wa kufikiri.
 
We mtani vipi tena mbona unanekana kuiogopa Yanga? Najua ulikuwa hautaki kukutana na Yanga lakini ndo hivo matokeo huwezi kuyabadirisha. Usituletee siasa zenu za Ccm na Cdm huu ni mchezo wa soka unaoendeshwa kwa kutumia sheria 17.
 
Yanga imetinga fainali kwa kubebwa tena,leo ikiwa mbele ya st.george kwa penati.Yanga imebebwa tena kutokana na mechi ya robo fainali kubebwa kwa kupewa nafasi ya kupiga penati marambili baada ya kukosa ile ya kwanza. Leo ikawa kituko ambapo penati ya Nadir iligonga mwamba na kugonga chini kisha ikatoka nje ambapo ilikubaliwa na refa lakini ikajitokeza pia kadhia hiyohiyo kwa upande wa st.george na refa akakataa na kuwapa wazee wa mbeleko ushindi. Marefa waliochezesha mechi za robo na nusu fainali zinazowahusu yeboyebo walisindikizwa na wazee wa kombati. Watani ngojeni kichapo kutoka kwa Simba Jpili labda mbebwe kama kawaida yenu.

Kesho mtajua sisi ni nani najua nyie ni dk 90 tu zinatosha kupeleka msiba msimbazi
 
Mtani pole sana, naona mnyama tumbo joto kwa kumuogopa Yanga. Nakushauri mjifunze na sheria za soka maana hatutaki lawama zakusema tumependelewa tena. Kumaliza ubishi tutawachinja ndani ya dk90.

_MG_8556.jpg

Umeona Bango hilo?

Mke katangulia mwanaume anakuja sasa kubeba ndoo na kuweka kibindoni $100,000/=
 
Kwanini tunashindwa kujiamini na kukubali kama tumeshinda na kuingiaa fainali.Badala ya kujisifu tuna jiweka chini.
Tujifunnze kujiamini.Yote haya ya kutojiamini yanatokana na serikali yetu imeharibu upeo wetu wa kufikiri.

ni kweli. hii ni inferiority complex tuliyopewa watz kutoona kuwa nasi tunaweza kupata mafanikio. ndio maana mgeni akija anawezeshwa ili shughuli zake ziende trouble free lkn mtz mwenzako anakumbana na vikwazo kibao ili mradi tu asifike kokote. hakuna timu yoyote iliyobebwa. kama ni kubebwa mbona hao walioshindwa hawakushinda ktk dakika za kawaida au kuna timu ilifunga goli likakataliwa? tujenge kujiamini kuwa nasi tunaweza na tuone fahari kuwa kombe hili sasa linabaki Tz na hela itatumika hapa hapa kwetu nasi kama wenyeji tumeweza kubakisha kikombe kwetu. sio sisi tuwe wandaaji tu na makombe yastahili kwenda kwa wenzetu.
 
Salama wakuu?

Kwanza kabisa nitoe shukrani kwa wakuu zangu wote PrN-Kazi,Saitama_Kein,Mkwasa,Katavi,Gazeti,Kakalende na wengine wote kwa kuendeleza libeneke hiyo jana......

Niliondoka ghafla hewani baada ya kupata tatizo(la msiba wa rafiki yangu) hali iliyonilazimu nianze kujiandaa kwa safari kwa ajili ya kuwahi mazishi hivyo kushindwa kufuatilia kilichokuwa kikiendelea uwanjani.....Thank God hakuna kitu kilichoharibika hiyo jana.....

Napenda tu kuwapongeza Yanga na watanzania kwa kuweza kutupa matumaini ya kulibakiza kombe hapa nyumbani Tanzania...Hongereni sana wana Yanga wenzangu...

Kuhusu kubebwa.....

Pamoja na kuwa mnazi mkubwa sana wa Yanga nachelea kusema kwamba Yanga katu hawajabebwa kwenye mechi ya jana wala kwenye mechi ya robo fainali.......Nadhani kama lengo lilikuwa ni kubebwa basi marefa wangehakikisha Yanga wanapata ushindi ndani ya dakika 90 ama 120 na si kusubiri mpaka wakati wa penati......Kuna tofauti kubwa sana kati ya penati ya Nadir Haroub na ile ya Antony Bongole....Penati ya Nadir iligonga mwamba ikaingia ndani(ikavuka msitari wa goli) lakini penati ya Bongole iligonga mwamba ikarudi ndani(ikawa njea kidogo ya msitari wa goli) na Super Sport walijaribu kuirudia kwa angle zote ikaonekana si goli,na hata wakati wa kipindi cha Jambo Tanzania cha TBC leo asubuhi Pendael Omary amerudia penati zote mbili na kuonesha tofauti kubwa kati ya penati zile...Hata kocha wa St. George Dossena alipohojiwa na Thomas Mlambo wa Super Sport alikiri kwamba lile si goli na alipata uhakika wa kwamba si goli baada ya kuangalia Replay ya penati ile.....Pia hata mtangazaji Thomas Mlambo akihojiwa na mtangazaji Charles Mwabeya wa TBC Taifa leo asubuhi alisema kwamba yale yalikuwa ni mamuzi sahihi kabisa,ni kweli penati haikuingia ndani ya goli na hata yeye(Mlambo) ameongea na kocha Dossena wa St. George kamwambia ni kweli ile penati haikuingia,so maamuzi ya refa yalikuwa halali kabisa.....

Cha msingi ni timu zetu Simba na Yanga zijipange vizuri ili watupe burudani hiyo kesho maana iwe isiwe ni lazima kieleweke na mmoja wao achukue kombe hiyo kesho.....

Btw.....Kuna taarifa kwamba watani zangu Simba kesho watawakosa Jerry Santo,Juma Kaseja na Amir Maftah,ni kweli?........Hizi zitakuwa habari mbaya sana kwa Simba.....

Tukutane basi hiyo kesho hapa hapa JF....

Bala.
 
Salama wakuu?Kwanza kabisa nitoe shukrani kwa wakuu zangu wote PrN-Kazi,Saitama_Kein,Mkwasa,Katavi,Gazeti,Kakalende na wengine wote kwa kuendeleza libeneke hiyo jana......Niliondoka ghafla hewani baada ya kupata tatizo(la msiba wa rafiki yangu) hali iliyonilazimu nianze kujiandaa kwa safari kwa ajili ya kuwahi mazishi hivyo kushindwa kufuatilia kilichokuwa kikiendelea uwanjani.....Thank God hakuna kitu kilichoharibika hiyo jana.....Napenda tu kuwapongeza Yanga na watanzania kwa kuweza kutupa matumaini ya kulibakiza kombe hapa nyumbani Tanzania...Hongereni sana wana Yanga wenzangu...Kuhusu kubebwa.....Pamoja na kuwa mnazi mkubwa sana wa Yanga nachelea kusema kwamba Yanga katu hawajabebwa kwenye mechi ya jana wala kwenye mechi ya robo fainali.......Nadhani kama lengo lilikuwa ni kubebwa basi marefa wangehakikisha Yanga wanapata ushindi ndani ya dakika 90 ama 120 na si kusubiri mpaka wakati wa penati......Kuna tofauti kubwa sana kati ya penati ya Nadir Haroub na ile ya Antony Bongole....Penati ya Nadir iligonga mwamba ikaingia ndani(ikavuka msitari wa goli) lakini penati ya Bongole iligonga mwamba ikarudi ndani(ikawa njea kidogo ya msitari wa goli) na Super Sport walijaribu kuirudia kwa angle zote ikaonekana si goli,na hata wakati wa kipindi cha Jambo Tanzania cha TBC leo asubuhi Pendael Omary amerudia penati zote mbili na kuonesha tofauti kubwa kati ya penati zile...Hata kocha wa St. George Dossena alipohojiwa na Thomas Mlambo wa Super Sport alikiri kwamba lile si goli na alipata uhakika wa kwamba si goli baada ya kuangalia Replay ya penati ile.....Pia hata mtangazaji Thomas Mlambo akihojiwa na mtangazaji Charles Mwabeya wa TBC Taifa leo asubuhi alisema kwamba yale yalikuwa ni mamuzi sahihi kabisa,ni kweli penati haikuingia ndani ya goli na hata yeye(Mlambo) ameongea na kocha Dossena wa St. George kamwambia ni kweli ile penati haikuingia,so maamuzi ya refa yalikuwa halali kabisa.....Cha msingi ni timu zetu Simba na Yanga zijipange vizuri ili watupe burudani hiyo kesho maana iwe isiwe ni lazima kieleweke na mmoja wao achukue kombe hiyo kesho.....Btw.....Kuna taarifa kwamba watani zangu Simba kesho watawakosa Jerry Santo,Juma Kaseja na Amir Maftah,ni kweli?........Hizi zitakuwa habari mbaya sana kwa Simba.....Tukutane basi hiyo kesho hapa hapa JF....Bala.
Pole sana mkuu kwa msiba na asante kwa ufafanuzi wa utata uliotokea jana!
 
Pole kwa msiba. Mi nilidhani umejificha kabatini
 
hahaha msimbazi hakuna cha msiba kwani hakuna ubishi vijana wa msimbazi wako juu kwa mashindano ya kimataifa.
 
pole sana mkuu balantanda kwa kuondokewa na rafiki yako.. Tuko pamoja mkuu
 
Back
Top Bottom