CECAFA KAGAME CUP 2011 Finals in Tanzania

CECAFA KAGAME CUP 2011 Finals in Tanzania

Haya ni maajabu ya Sam Timbe.........

Kavunja rekodi leo kwa kuchukua kombe la Kagame mara ya 4 akiwa na klabu tofauti
 
Hongereni Yanga na Simba pia hongereni kwa kupigana hadi dk ya mwisho
 
Leo yanga wameona dah tatulali..... Ila tuacheni utani ile penalt ilikuwa penalt na goal la yanga ilikuwa ni offside ila kuanzia pale yanga wamepiga mpira wa nguvu..

Simba tumechemsha kati pasi butu na striker anachoka hakuna pasi za maana ila goal la yanga ni pure class kutoka wing ya kushoto. Kama simba natowa unazi na kusema yanga hongereni wazee wa manji army.
 
Timbe kweli ana maajabu! Kombe mara nne na timu nne tofauti na yanga nao wanachukua kwa mara ya nne.
 
nawakaribisha wapenzi wote wa Simba hapa "<strong><span style="color:#ff0000;">Simba</span></strong> <strong><span style="color:#ffd700;">Kapakatwa </span></strong>Pub" maeneo ya makumbusho.
 
hongereni wstani... Tusahsu yote tufurahi kombe lipo bongo
 
Defence ya Yanga ilikuwa imara sana leo. So wane deserve kuwin hii game.
 
ngoja niingie jamii chat hapo juu link mtanikuta huko nimetulia na Kahawa.
 
Back
Top Bottom