CECAFA KAGAME CUP 2011 Finals in Tanzania

CECAFA KAGAME CUP 2011 Finals in Tanzania

Uwanja wa Taifa unajishushia hazi ya kuwaonesha CAF tunaweza kufanya mashindano ya Kombe la Africa. Mpaka hapo tusha Fail machoni ya wakuu wa CAF.
 
Hii nchi imeoza kama sio kulaaniwa ni aibu kubwa mno ni uzembe, ushenzi na upumbavu wa hali ya juu.
 
Poleni sana Simba ,kama mshabiki wa Kandambili tangu muwauze kina Okwi,Samatta na Ochan kiwango chenu kimepungua hakuna mtu mwenye kasi kama Okwi na Samatta.Boban ni mzuri lakini hana pumzi kabisa.Wachezaji kama Mgosi,Machaku hamna kitu bora Ulimboka Mwakingwe bado ana kasi.Upande wa Yanga leo Nurdin Bakari ndio alikuwa anacheza mpira wengine hamna kitu hasa kwenye kiungo wa kuwachezesha fowadi hamna kabisa hadi Tegete akawa anarudi kati kutafuta mpira,Pamoja na mpira kuwa mbovu lakini furaha ya kufunga mtani inabaki palepale
 
Mkuu hebu nipe kwanza hizo club zingine alizofundisha huyu kocha......maana anaonekana ni mzuri sana
Alichukua akiwa na SC Villa na Polisi(za Uganda) pamoja na Atraco ya Rwanda na leo kachukua akiwa na Yanga
 
SIMBA tusitafute mchawi.....Viongozi wetu ni MAGAMBA, hatukuwa na sababu ya kumwondoa PATRICK PHIRI katika BENCHI LA UFUNDI!
Umeona eeeeh?Bora hata babu Dalali angekuwepo! Ngoja tumsaidie afanye paper ya form four apate cheti, tuangushe uongozi wa Rage, tufanye uchaguzi Hassan Dalali arudi kuongoza.
 
RAGE NA ATOKE KWELI BWANA ANAIHARIBU TIMU...... KATUZALILISHA MENGI KWENDA KUICHOKESHA TIMU MASHINDANO AMBAYO TUSHATOLEWA ILA YEYE BADO MTU UKISHINDWA UMESHINDWA JIPANGE UPYA LEO.. YANGA KUANZIA DK 20 za () ZA MWISHO WAMEKIPIGA WAMETUZIDI KATI .. YANGA WALIKUWA WANAKIPIGA MPIRA WA CHINI MIDDLE ANAGEUKA VIZURI KABISA.. MIDDLE YA SIMBA IKIZUNGUKA HAPA BASI MPAKA HUKOOOOOO ALAFU ANAMPA MTU PASI YA USONI SIO MGUUNI HIYO YA USO IKIPIGWA MTU ANAUMIZWA PUWA NA MACHO.... STRIKER PEKE YAKE ANACHOKA NA HANA AKILI YA KUSAIDIA KATI. BEKI ZIMEJITAHIDI SIMBA MPAKA ZIMECHOKA... SIMBA TUKUBALI TUMEPIGWA GOAL LA AKILI NA MPIRA YANGA WAMECHEZA.
 
Ila sio siri bora yanga wangetufunga jumamosi ila kufungwa jumapili inauma kweli ikianguka jumatatu dah.
 
Yanga bingwa, yaliyobaki nafikiri si ya kimichezo tuyahamishie kwenye siasa au mambo mengineyo. Tunasherehekea ushindi kwanza haya yaliyojitokeza ni ya aina yake yanafaa kufunguliwa thread kuleeeeee!
 
Wakati wimbo wa taifa ulipogoma kuimba walimuwajibisha msemaji wa TFF this time sijui watamuwajibisha nani
 
Yanga bingwa, yaliyobaki nafikiri si ya kimichezo tuyahamishie kwenye siasa au mambo mengineyo. Tunasherehekea ushindi kwanza haya yaliyojitokeza ni ya aina yake yanafaa kufunguliwa thread kuleeeeee!

ni kweli sababu hili si tatizo la kiumeme tu na security hapa ime fail kabisa kwamba inaonesha tunaanza kufanya game bila kufanya uchunguzi itakuwaje mbele ndio matokeo yake hata Nyavu zinachanika ovyo hatuchunguzi vitu vyetu mpaka kiharibike.
 
wakati wimbo wa taifa ulipogoma kuimba walimuwajibisha msemaji wa tff this time sijui watamuwajibisha nani
waziri nggggggjjjjjjjjjj, mkurugenzi wa tanesco na sijui nani vileeee, nimemsahau.....
 
taifa.jpg
dah haya mambo mgawo sijui watamtimua nani safari hii
 
Back
Top Bottom