Kurunzi
JF-Expert Member
- Jul 31, 2009
- 9,753
- 10,747
Hapo ndo tabu niliyonayo naichukia ccm jamaniila inaniuma chama langu kuhusishwa na CCM nasikia kichefuchefu mnoooooo ila mishkaki ntakulaaaaaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo ndo tabu niliyonayo naichukia ccm jamaniila inaniuma chama langu kuhusishwa na CCM nasikia kichefuchefu mnoooooo ila mishkaki ntakulaaaaaaa
Kweli wewe hukubaliki unategemea nani atakukubalili na akili zako finyuRais wa nchi gani? Kama ni wa Bongo ataona poa tu. Au ulitaka ageuke jenereta akafue umeme pale uwanjani? Teh teh teh.....!
Nimekubamba! Ungekuwa huna akili finyu kuliko mie ungeelewa ninamaanisha nini, anyway una haki ya kufikiri unavyotaka. Kwa kumbukumbu tu ni JK mwenyewe ndiye aliyeonesha kutokuwa na uwezo wa kutatua tatizo la umeme kwani hawezi kugeuka wingu la mvua. Una maoni tofauti wewe? Acha uvivu wa kufikiri!Kweli wewe hukubaliki unategemea nani atakukubalili na akili zako finyu
Habari zenyu Simba bhanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Labda simba yako....Yanga wana kikosi kizuri ambacho kita-gel kadri ya mashindano yanavyoendelea.
Besides hawa Wasudani wako hundreds miles apart ukiwalinganisha na wale Warundi vibonde waliocheza na simba jana!
nasikia simba wamekata rufaa mechi irudiwe sheria za fifa aziruhusu kombe kutolewa gizani kwa yanga wanyang'anywe ushindimkuu katavi...upo mzee wa lyamba lya mfipa??
Unaikumbuka hii kitu hapo juu nilikwambia baada ya yanga afrika kucheza mechi ya kwanza kabisa ya mashindano??
"bala is always there"......i know!!!!!
Kudos mkuu!
nasikia simba wamekata rufaa mechi irudiwe sheria za fifa aziruhusu kombe kutolewa gizani kwa yanga wanyang'anywe ushindi
Nipo mkuu na nimeamini maneno yako!Mkuu Katavi...upo mzee wa lyamba lya mfipa?? unaikumbuka hii kitu hapo juu nilikwambia baada ya Yanga Afrika kucheza mechi ya kwanza kabisa ya mashindano??"Bala is always there"......I know!!!!! kudos mkuu!