CECAFA KAGAME CUP 2011 Finals in Tanzania

CECAFA KAGAME CUP 2011 Finals in Tanzania

Rais wa nchi gani? Kama ni wa Bongo ataona poa tu. Au ulitaka ageuke jenereta akafue umeme pale uwanjani? Teh teh teh.....!
Kweli wewe hukubaliki unategemea nani atakukubalili na akili zako finyu
 
Kweli wewe hukubaliki unategemea nani atakukubalili na akili zako finyu
Nimekubamba! Ungekuwa huna akili finyu kuliko mie ungeelewa ninamaanisha nini, anyway una haki ya kufikiri unavyotaka. Kwa kumbukumbu tu ni JK mwenyewe ndiye aliyeonesha kutokuwa na uwezo wa kutatua tatizo la umeme kwani hawezi kugeuka wingu la mvua. Una maoni tofauti wewe? Acha uvivu wa kufikiri!
 
Labda simba yako....Yanga wana kikosi kizuri ambacho kita-gel kadri ya mashindano yanavyoendelea.
Besides hawa Wasudani wako hundreds miles apart ukiwalinganisha na wale Warundi vibonde waliocheza na simba jana!

Mkuu Katavi...upo mzee wa lyamba lya mfipa??
unaikumbuka hii kitu hapo juu nilikwambia baada ya Yanga Afrika kucheza mechi ya kwanza kabisa ya mashindano??

"Bala is always there"......I know!!!!!
kudos mkuu!
 
mkuu katavi...upo mzee wa lyamba lya mfipa??
Unaikumbuka hii kitu hapo juu nilikwambia baada ya yanga afrika kucheza mechi ya kwanza kabisa ya mashindano??

"bala is always there"......i know!!!!!
Kudos mkuu!
nasikia simba wamekata rufaa mechi irudiwe sheria za fifa aziruhusu kombe kutolewa gizani kwa yanga wanyang'anywe ushindi
 
nasikia simba wamekata rufaa mechi irudiwe sheria za fifa aziruhusu kombe kutolewa gizani kwa yanga wanyang'anywe ushindi

Teh teh teh..,Hakika Dar Young Africans walitutendea haki kabisa J2.PAKATAAAAAAAA.
 
Mkuu Katavi...upo mzee wa lyamba lya mfipa?? unaikumbuka hii kitu hapo juu nilikwambia baada ya Yanga Afrika kucheza mechi ya kwanza kabisa ya mashindano??"Bala is always there"......I know!!!!! kudos mkuu!
Nipo mkuu na nimeamini maneno yako!
 
Back
Top Bottom