Cecafa U20: Tanzania Bara yaitandika Uganda kwa magoli 4 - 2 na kufanikiwa kuingia nusu fainali

SPINE

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2017
Posts
1,068
Reaction score
1,150
Timu ya taifa ya vijana chini ya miaka 20 (Ngorongoro Heroes) wanakutana na vijana wenzao wa nchini Uganda katika mtanange wa robo fainali ya Cecafa U20. Mchezo huo utapigwa saa kumi jioni saa za Tanzania uwanja wa Pece-Stadium, Gulu . Mungu ibariki Ngorongoro heroes, mungu ibariki Tanzania.

Timu zimeshaingia uwanjani
UPDATES:
Dk 15: Tanzania 0-0 Uganda
Dk 25: Gooooaaalll, Simchimba anaipatia Tz goli, Tanzania 1-0 Uganda
Dk 35: Tanzania 1- 0 Uganda
Dk 42, Tz wanapata kona.....inapigwa, kipa anaiwahi
Imeongezwa dk moja kabla ya mapumziko
MPIRA NI MAPUMZIKO Tz 1-0 Uganda

Kipindi cha pili kinakaribia kuanza
Kipindi cha pili kimeanza
Dk46 Gooall, Uganda wanasawazisha, Tanzania 1-1 Uganda
Dk 60 Gooooaaalll, Simchimba anafunga goli la pili, Tanzania 2:1 Uganda
Dk 70 Tz 2-1 Uganda
Dk 76 Goaaall, Uganda wamesawazisha, Tanzania 2- 2 Uganda.....Goli limefungwa kizembe kabisa....Dah
Goooooooaaalll.....Kelvin John anaifungia goli la tatu Tz 3- 2 Uganda
Dk 90 Gooooooallll Tanzania 4-2 Uganda
MPIRA UMEKWISHA
FULL TIME: TANZANIA 4- 2 UGANDA
 
Mechi inaoneshwa kupitia channel gani? Bora niwaangalie hao wazalendo wa Taifa kuliko hawa mbumbumbu fc.
 
Dk 23 bado bila bila
 
Tanzania 1-0 Uganda , dk25
 
Mfungaji sijui nani maana hakuna sauti ya mtangazaji ila kafunga kwa kichwa
 
Huu uwanja utadhani wa shule ya msingi, inaonekana mvua ilipiga.
 
Dk 33 bado Tz inaongoza moja bila
 
Mpira mapumziko..Tz 1-0 Uganda
 
Goaalllll...Uganda wamesawazisha dk ya kwanza ya kipindi cha pili
 
dk 46: Tanzania 1-1 Uganda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…