mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
Goli la 4 kafunga nan!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya Mashindano sijayafuatilia japo naona tu mitandaoni hao U20 kila siku wanapata ushindi.
Inaonyeshwa Channel gani kwani?
Yabidi na mie nianze kuwafuatilia. Imefikia hatua gani?Ilikuwa online TV
Huyu ndugu aliweka link hapo juu
Nimefaidi mechi mwanzo ....mwisho
Mpira ulikuwa mzuri sana
Yabidi na mie nianze kuwafuatilia. Imefikia hatua gani?
Kwa anaetamani kuangalia mchezo huo ingia link hii japo sauti sio original
Nina imani tutalitwaa kombe.Semi final tumeingia
Nina imani tutalitwaa kombe.
Niko nyuma yako nakaziaNina imani tutalitwaa kombe.
nimeingia FUFA TV,sijafanikiwa. Nielekeze rafikiInaonyeshwa FUFA TV....Ni online TV.....Ingia youtube
Tumewapiga Sudan, 2-1
Tumewapiga Sudan, 2-1
kumbe +254 wametandikwa. Tutapiga na hao EritreaSafi sana kwa iyo tutacehza fainal na Eritrea [emoji1096]