Cecil Mwambe kujenga Makao Makuu ya kisasa CHADEMA na kuachana na kota ya NHC ya Ufipa

Kwa hiyo wakati wa chama ki1 ccm hawakutakiwa kujenga ofisi zao?
 
Hatari kwahyo ili ukubalike lazima uwe na mgogoro na police
 
Kwani mgombea ni mwana wa ukoo?? Au anataka kupeleka malipo za ukoo to the dogs ?
 
Kwa pesa ipi wakati ruzuku zote hadi DEC 2020 mbowe alishazichukulia mkopo benk

Pesa ikiingia tu benk wanakuala ,hivi hamjui kuwa mbowe alishaimaliza chadema

State agent
Na ruzuku zenu huwa mnapeleka wp? Maana hatujawahi kuziona wajumbe
 
Mwizi anaonekana tajiri, miaka yote CCM ilikuwa hoi kifedha lakini ghafla ikatajirika bila kufanya biashara yoyote wala kujiunga na freemason! Huyu ndiye anayesifiwa kwa utajiri. Rais Ghadafi ikulu yake ilikuwa hema na nchi yake ilikuwa tajiri kuliko sisi sasa sijui hayo makao makuu ya ghorofa hamsini yataleta tija gani ndani ya kukiimarisha chama mikoani, watanzania tujifunze toka ulaya.
 
Kwa hiyo wakati wa chama ki1 ccm hawakutakiwa kujenga ofisi zao?
Ofisi ni za serikali ccm haijawahi kujenga hata ofisi moja na kama wamewahi kujenga tuambie ni wapi ktk Tanzania hii.
 
Chama cha demokrasia na maendeleo kisichopenda maendeleo ni kutumbua tu Ruzuku kwa kwenda mbele.
 
Nasikia CCM watakuwa wakandarasi wa jengo.
Kwa pesa ipi wakati ruzuku zote hadi DEC 2020 mbowe alishazichukulia mkopo benk

Pesa ikiingia tu benk wanakuala ,hivi hamjui kuwa mbowe alishaimaliza chadema

State agent
 
Dah kweli ng'ombe wa masikini hazai.. Jamaa kaondoka zake sijui hii ofisi itajengwa na nani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…