goggles
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,415
- 2,358
Kwa hiyo wakati wa chama ki1 ccm hawakutakiwa kujenga ofisi zao?CCM mjue hamna jingo hata moja, hayo ni nyumba za serikali maana mlizinyakua wakati wa chama kimoja ambacho kilikuwa sehemu ya bajeti ya kodi za wananchi. iende irudi nyumba hizo mtanyanganywa maana iko kwenye vitabu na mioyo ya watanzania kuwa si vyenu. Kaa ukijua. Kama wewe ni Magufuli , Bashiru, Polepole etc jua hilo!