Cecil Mwambe: Sihitaji mtu anichukulie fomu, nitaenda kuchukua mwenyewe ila tuwe pamoja kwenye kampeni kama mnanikubali

Gamba Ndiyo Yeye Tu Kutupa Habari 😁😀😂😊😃😄😄😅Mleta Mada Tulia Kwanza
 
Funguka ndo magufuli amechukuliwa hiyo fomu.funguka maneno ungetoa hapa
Mbowe kafanya jambo la kitoto na kijinga maigizo ya kuchukuliwa fomu, hiyo inaonyesha Mbowe uwezo wake wa kiuongozi ni mdogo na hana tena la kuisaidia CHADEMA, Ni vizuri Mbowe akae pembeni apishe mawazo mapya
 
Si afadhali sisi wa jalalani kuliko wewe tapeli wa mtaroni? Kutwa nzima ni kutuhamishia humu vihabari vyako vya kizushi. Acha hayo mambo yako binti. Jifunze kujenga hoja!
Ha haa
johnthebaptist knows how to get under your skin!
Sijawahi kuona umechukizwa na comment ukajibu kwa hasira hivi.

Siku zote ulikuwa makini kulinda jina lako.
 
Wee Jo ni kigeugeu kinyonga kasingiziwa

Mtu anaetumia maneno ya kinafiki ya kidini ku-push his political agenda ni mtu aliefilisika sana!

Na people of this type ni wanafiki sana

Uzuri Chadema tuna demokrasia,agombee sanduku liongee!
 
Mwambe anataka kuibadilisha Chadema kutoka kundi la wanaharakati kuwa chama cha siasa!
Labda chama cha siasa cha akina Cheyo,Mrema,Dovutwa na washirika wake.CCM haina mpango wa kuruhusu chama kingine MADHUBUTI (kama CHADEMA) kishindane nacho.Na sasa kimeona tishio kubwa toka kwa CDM,chama ambacho Baba wa Taifa alishakiona kuwa mbadala wa CCM. Ndiyo maana ukaandaliwa huo mkakati wa KITOTO wa serikali za mitaa.Ukweli utabaki HIVYO,Mbowe na chama chake katika hali ya USAWA,uungwaji mkona toka kwa wananchi,AMEWAZIDI SANA MAARIFA.NASUBIRI KWA HAMU SANA KUSIKIA TOKA KWA KATIBU MKUU MSOMI WA CCM(Sijuwi yeye ana degree ngapi) AKIZUNGUMZIA UCHAGUZI HUU WA KITOTO.NASUBIRI.
 
Katika ziara zake za mikoa ya Kusini JPM alisema Mwambe yuko Chadema kimwili lakini moyo wake uko CCM na akamalizia kuwa yeye alikwenda Chadema kwa kuwa huko CCM alifanyiwa figisu lakini bado ana mapenzi na chama hicho. Cecil Mwambe hajawahi kukanusha madai hayo ya JPM, sasa mtu kama huyu kumpa uenyekiti wa Taifa hii itakuwa ni political suicide. Apewe fomu kama kawaida 'tutakutana kwa debe'.
 
Mardi mwingine wa CCM sawa na mwendo kasi.
 
Naona ghetto American english umeibadirisha na kuwa Ghetto Swahili!!

Mlamba matako bwana!

Mavi yamekuzidi!

Relax

America kuna ghettos,unfortunately Africa where Im from,the whole country is a very big ghetto!

Mimi na wewe tuibadili nchi kua First World Nation!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…