Cecil Mwambe: Sihitaji mtu anichukulie fomu, nitaenda kuchukua mwenyewe ila tuwe pamoja kwenye kampeni kama mnanikubali

Mbowe safari hii kapata mpinzani wa kweli siyo wale magumashi anaowawekaga!
 
Go Mwambe

Go Cecil

Wapenda Demokrasia nchini kote, bila kujali vyama, tupo nyuma yako
 
Mama Cecil uongozi ndani ya Chadema sio mchezo,Viongozi wote wako Mahakamani,wapo waliofungwa,sero ndio kila siku wewe utaweza?
Wako mahakamani kwa uhalifu waliotenda siyo wapigania uhuru wale!

Mwambe ataifanya Chadema kuwa chama cha siasa na siyo kikundi cha wanaharakati kinachotafuna ruzuku ya serikali!
 
Mama Cecil uongozi ndani ya Chadema sio mchezo,Viongozi wote wako Mahakamani,wapo waliofungwa,sero ndio kila siku wewe utaweza?


Akagombee vyama vingine..anafanya masihara huyu mama...akiwekwa ndani hata siku 2 si ataresign!?hiki cheo kinahitaj mtu konk master landa Mdee!
 
Jamani mimi ni Chadema mkereketwa, sio mwanachama, ila soon nachukua kadi.

Tutakuwa tunafanya kosa kama tutamshambulia Mwambe kugombea uenyekiti. Acha agombee, kura ziseme. Wapiga kura wanajua nani anawafaa. Lakini msizuie mtu kugombea maadam katiba inaruhusu.
 
Huyu sio pandikizi la ccm? Maana alitokea chama kile
 
Mbowe safari hii kapata mpinzani wa kweli siyo wale magumashi anaowawekaga!
Si wanachama wanasema ati wana imani na Mbowe? Hakuna haja ya kelele nyingi. Watulie tu na wakampigie kura huyo walio na imani nae na kura zitaongea. Numbers never lie. Hizi kelele za ‘huyu ni pandikizi la CCM’ ni utoto tu. Kama ni pandikizi so what? Just don’t vote for him!

Wakati wa uchaguzi wa urais wa TLS, CCM na vyombo vyake vilijaribu kupenyeza ‘mapandikizi’ but Lawyers hawakuwa wakilialia hovyo kama hawa wanachama wa CHADEMA. Walikwenda na kuwanyima kura hao mamluki. Walifanya hivyo kwa Tundu na kwa Fatuma vilevile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…