Babu Kijiwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2010
- 4,830
- 4,729
DJ Mbowe (kwa sauti ya jingle za ma DJ)Mbowe kafanya jambo la kitoto na kijinga maigizo ya kuchukuliwa fomu, hiyo inaonyesha Mbowe uwezo wake wa kiuongozi ni mdogo na hana tena la kuisaidia CHADEMA, Ni vizuri Mbowe akae pembeni apishe mawazo mapya
johnthebaptist Laki Si Pesa mmeamua kuwachagulia CDM mwenyekiti Taifa. Bado slow slow,ataitisha press ili kujenga hoja Cesil achaguliwe kuongoza CDM,kwa afya bora ya upinzani Tanzania.
Mbowe angekuwa na ajenda ya kuitoa CCM madarakani alimleta Lowassa na Sumaye kufanya nini Chadema?!Mgombea anayetaka kuongoza chama lakini ajenda yake siyo kuitoa Ccm madarakani hatufai
Demokrasia ina gharama zake ambazo siyo lazima ziwe katika mtindo wa fedha!johnthebaptist Laki Si Pesa mmeamua kuwachagulia CDM mwenyekiti Taifa. Bado slow slow,ataitisha press ili kujenga hoja Cesil achaguliwe kuongoza CDM,kwa afya bora ya upinzani Tanzania.
Mbowr ndo alimtuma lubuva apindue matokeo?Mbowe angekuwa na ajenda ya kuitoa CCM madarakani alimleta Lowassa na Sumaye kufanya nini Chadema?!
Ni asili yangu kumpinga muongo, tapeli, laghai na mzushi yeyote popote awapo. Ndiyo maana mambo ya vyama siyaweziNenda youtube utaona na kusikiliza! Mbona leo unampinga sana johnthebaptist ?
Nani amtetemekee, yeye aje apewe fomu kama kawaida mengine tukutane kwa debe'.Kwa jinsi mnavyotetemeka Mwambe ameshashinda tayari!
Haaa... Hivi na wewe ni mwanasheria?Si afadhali sisi wa jalalani kuliko wewe tapeli wa mtaroni? Kutwa nzima ni kutuhamishia humu vihabari vyako vya kizushi. Acha hayo mambo yako binti. Jifunze kujenga hoja!
Mgombea wa nafasi ya Mwenyekiti wa Chadema mh Cecil Mwambe amesema haitaji watu wa kumchukulia fomu kwani zoezi hilo atalifanya yeye mwenyewe kwa kuwa anajiamini.
Mwambe amesema anachoomba ni ushirikiano kutoka kwa wale wote wenye mapenzi mema na Chadema ili kwa pamoja waweze kushinda.
Source Global tv
My take; Nakubaliana na Mwambe mambo ya kuchukuliana fomu ni mbinu za kizamani zilixotumiwa na akina rip Bamchawi pale Simba SC!
Wacheze inavyowapendeza lakini wasijesahau mwakani wanakabidhi uongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni kwa ACT.Hii senema wanaicheza vizuri according to the script.
Subirini muda wa uchaguzi muone kitakachojiri...
Toka umlaze kamanda Mbowe segerea kwa miezi mitatu nilikudharau kabisa na huo uwakili wako wa porini!Ni asili yangu kumpinga muongo, tapeli, laghai na mzushi yeyote popote awapo. Ndiyo maana mambo ya vyama siyawezi
Ana degree ya Gambo!Haaa... Hivi na wewe ni mwanasheria?
2025 tunamchulia JPM form na tutaandamana nchi nzima kuhakikisha anagombea tena uraisMgombea wa nafasi ya Mwenyekiti wa Chadema mh Cecil Mwambe amesema haitaji watu wa kumchukulia fomu kwani zoezi hilo atalifanya yeye mwenyewe kwa kuwa anajiamini.
Mwambe amesema anachoomba ni ushirikiano kutoka kwa wale wote wenye mapenzi mema na Chadema ili kwa pamoja waweze kushinda.
Source Global tv
My take; Nakubaliana na Mwambe mambo ya kuchukuliana fomu ni mbinu za kizamani zilixotumiwa na akina rip Bamchawi pale Simba SC!
Lakini asidhurike kijana wa watu........Mtwara siyo Mara!Nani amtetemekee, yeye aje apewe fomu kama kawaida mengine tukutane kwa debe'.
Jo umemaliza kabisa, akiona hii comment ataacha kugombeaKatika ziara zake za mikoa ya Kusini JPM alisema Mwambe yuko Chadema kimwili lakini moyo wake uko CCM na akamalizia kuwa yeye alikwenda Chadema kwa kuwa huko CCM alifanyiwa figisu lakini bado ana mapenzi na chama hicho. Cecil Mwambe hajawahi kukanusha madai hayo ya JPM, sasa mtu kama huyu kumpa uenyekiti wa Taifa hii itakuwa ni political suicide. Apewe fomu kama kawaida 'tutakutana kwa debe'.
Wewe ndiye nguruwe na wenzio wote. Nguruwe ni mchafu na haramu kama nyie MACCM.Hao wanachama ni nguruwe?!
Hahahaaa........ Wasalimie Ufipa!Wewe ndiye nguruwe na wenzio wote. Nguruwe ni mchafu na haramu kama nyie MACCM.