Cecil Mwambe: Sihitaji mtu anichukulie fomu, nitaenda kuchukua mwenyewe ila tuwe pamoja kwenye kampeni kama mnanikubali

Cecil Mwambe: Sihitaji mtu anichukulie fomu, nitaenda kuchukua mwenyewe ila tuwe pamoja kwenye kampeni kama mnanikubali

Mbowe kafanya jambo la kitoto na kijinga maigizo ya kuchukuliwa fomu, hiyo inaonyesha Mbowe uwezo wake wa kiuongozi ni mdogo na hana tena la kuisaidia CHADEMA, Ni vizuri Mbowe akae pembeni apishe mawazo mapya
DJ Mbowe (kwa sauti ya jingle za ma DJ)
 
Hii senema wanaicheza vizuri according to the script.

Subirini muda wa uchaguzi muone kitakachojiri...
Mgombea wa nafasi ya Mwenyekiti wa Chadema mh Cecil Mwambe amesema haitaji watu wa kumchukulia fomu kwani zoezi hilo atalifanya yeye mwenyewe kwa kuwa anajiamini.

Mwambe amesema anachoomba ni ushirikiano kutoka kwa wale wote wenye mapenzi mema na Chadema ili kwa pamoja waweze kushinda.

Source Global tv

My take; Nakubaliana na Mwambe mambo ya kuchukuliana fomu ni mbinu za kizamani zilixotumiwa na akina rip Bamchawi pale Simba SC!
 
2025 tunamchulia JPM form na tutaandamana nchi nzima kuhakikisha anagombea tena urais

Kama noma na iwe noma.
 
Katika ziara zake za mikoa ya Kusini JPM alisema Mwambe yuko Chadema kimwili lakini moyo wake uko CCM na akamalizia kuwa yeye alikwenda Chadema kwa kuwa huko CCM alifanyiwa figisu lakini bado ana mapenzi na chama hicho. Cecil Mwambe hajawahi kukanusha madai hayo ya JPM, sasa mtu kama huyu kumpa uenyekiti wa Taifa hii itakuwa ni political suicide. Apewe fomu kama kawaida 'tutakutana kwa debe'.
Jo umemaliza kabisa, akiona hii comment ataacha kugombea
 
Back
Top Bottom