GE2025 Cecilia Paresso achukua fomu ya kuomba CCM kugombea Ubunge Jimbo la Karatu Mkoani Arusha

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,186
Reaction score
4,940
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha anayemaliza muda wake Cecilia Paresso amechukuwa fomu ya kuomba kuteuliwa na Chama Cha Mapinduzi kugombea Ubunge Jimbo la Karatu Mkoani Arusha

Paresso amekabidhiwa fomu hizo katika ofisi za Chama Cha Mapinduzi wilaya ya Karatu hivi leo na Katibu wa Chama Cha Mapinduzi wilaya hiyo.

1751289121074.png
 
Hatoboi kamwe huyo covid.isitoshe ccm pale karatu wanaangalia sana nguvu ya pesa kitu ambacho kwa daniel awaki hatoboi
 
Nyuzi za kuchukua fomu zimezidi, ziunganishwe kwenye Uzi mmoja bas
 
Hatoboi kamwe huyo covid.isitoshe ccm pale karatu wanaangalia sana nguvu ya pesa kitu ambacho kwa daniel awaki hatoboi
Sema Daniel hata kiswahili ni changamoto amewawakilisha kilugha?
 
Back
Top Bottom