vkeisy2006
JF-Expert Member
- Mar 26, 2010
- 229
- 99
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eminem kuanzia mdogo naona tabasamu la kikorofi
![]()
mmh elton john sijui kama alikua anajua atakuja kuwa bwabwa,chakla
..Nyamayo..Nilitaka kukugongea senksi lakini kile kidude sikioni. Tangu wafanye ukarabati mambo sio mambo humu JF. Lakini kiukweli Harry Barry yuko bomba sana. Mi mpaka sasa namzimia huyu demu.........mie halle berry tu, kalikuwa katamu kama kawaida.....huyu mwanamama mie mwanzo mwisho.
![]()
haka kazuri kweli....wangekuwa wanajiacha natural wangependeza sana...