Celeb walivyokua wadogo...........

Celeb walivyokua wadogo...........

vkeisy2006

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2010
Posts
229
Reaction score
99
Beyonce.jpgcelebkids55.jpgcelebkids15.jpgcelebkids15.jpgcelebkids9.jpgcelebkids26.jpgcelebkids1.jpgcelebkids20.jpgcelebkids14.jpgcelebkids39.jpgcelebkids40.jpgcelebkids35.jpgcelebkids6.jpg
 
hako ka namba moja ni ka Beyonce

walikuwa wanapendeza kuliko sasa wanavyofanya surgery
 
attachment.php


haka kazuri kweli....wangekuwa wanajiacha natural wangependeza sana...

attachment.php


ila haka mmmhhh!!
 
mie halle berry tu, kalikuwa katamu kama kawaida.....huyu mwanamama mie mwanzo mwisho.
 
4 shua EMINEM alifanana na alivyo kabla hata ya kua hvyo, ka malaa keri kalikua kabaya kabayaaa! Elton John ye kama kawa anarembua!
 
mie halle berry tu, kalikuwa katamu kama kawaida.....huyu mwanamama mie mwanzo mwisho.
..Nyamayo..Nilitaka kukugongea senksi lakini kile kidude sikioni. Tangu wafanye ukarabati mambo sio mambo humu JF. Lakini kiukweli Harry Barry yuko bomba sana. Mi mpaka sasa namzimia huyu demu.........
 
safi sana kuona vitu kama hivi, Beyonce na Angelina wana tabasamu la asili tangu udogoni, Britney na Jennifer wanalazimisha tabasamu.Michael jordan,michael jackson, Angelina,Beyonce sura zao zipo vile vile toka utotoni mpaka sasa hakuna mabadiliko
 
Back
Top Bottom