Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani pesa unatafuta 24hrs?Kama mwanaume kausha tafuta pesa birthday achia wanamama.
Kama mwanaume kausha tafuta pesa birthday achia wanamama.
Hongera kwakumbukumbu yako ya kuzaliwa. Afya yako ni jambo muhimu sana litakalokuwezesha kufikisha miaka mwingine kama uliyonayo. Chezea pesa, kazi n.k lakini usijaribu kuichezea afya yako. Endelea kuishi mkuu!
Welcome and enjoy your day mkuu.Thanks a lot Zikomo Songea, dah wewe jamaa umenigusa sana kwa maneno yako. Uko sahihi kabisa ndugu. Nimechukua ushauri kwa moyo mkunjufu